MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Sidhani kama mazungumzo yale yalichukua zaid ya wiki 1..
Ngoja Lissu atatupa mrejesho maana wahusika wamegoma.
Ngoja Lissu atatupa mrejesho maana wahusika wamegoma.
Ushasema CV zao ziko vizuri maana take hawabebi zege so siyo lazima wawe Canada ndo wafanye shughuli zao hata wakikaa mwaka mzima hapa kazi zao zitaenda vizuri tu, laptop wanazo so wanaweza kufanya kazi zao popote.Kwa CV za wale jamaa wa barick sio watu wakupoteza mwez mzima kujadili makinikia! Barick ina oparate maeneo mengi duniani, hawawez kuacha kazi zao wabakie na makanikia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.
Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Huna unachokijua, wewe endelea kufua nguo za EL baada ya kula matapishi.Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.
Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Na ni lazima walizidai tu na watu wa kuzitolea majibu hawawezi kuwa Barrick bali ni Acacia wenyewe na Acacia walishazipinga hizo ripoti tangu mwanzo na kusema findings za kamati zote mbili hazina ukweli wowote.Barrick hawakuwa wemepewa zile report 2 kabla ya haya mazungumzo. Bila shaka walidemand wapewe na wazipitie kwanza, neno kwa neno. Na kama hilo lilitokea, then janja yetu ya kutaka kuwaambush itakuwa imefail
Mlipotutangazia zilikuwa zinatuhusu nini?Inakuhusu nini?au ni huo umbea mbea wenu mshazoea, ili mpate kuweza kuandika andika upuuzi huku hata mwk mzima waacheni wakae
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni matamanio yako na hayatofanikiwa.Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Mnavyopenda sifa saa hizi mngekuwa mmeshaitisha press conference huku tv zote zikiwa live kutangaza ushindi.Hayo ni matamanio yako na hayatofanikiwa.
Kwa nini unaitaka serikali ikueleze kama imeshindwa badala ya kuwataka Barrick waeleze wameshinda?
ACACIA walikua wanatoa updates zao kwa mbwembwe muulize mkuu Salary Slip wameishia wapi.
Kama ulidhani kuwa lile deni lilikuwa ni la uongo umejidanganya sana,facts zimewekwa mezani wanatakiwa wajikaange wenyewe