Vipi update za mazungumzo na Accacia

Vipi update za mazungumzo na Accacia

serekali mshasikia !?jitokezeni kwani nyinyi ndo mlio na siri za makanikia,wana inch wenu walio wazalendo wanakereketwa na zile noa au kupatkane mzalendo amjibu mleta uzi-binafsi sha sahau nimebaki na neno MAKANIKiA mengine yote hayamo!!
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Wanajadili Nini; kwani wewe unajua Nini. Ukijua kidogo unatumia muda kidogo lakini ukijua mengi unatumia muda mwingi kujadiliana na kufikia muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make the lie big, make it simple, keep saying it, and eventually they will believe it. Adolf Hitler
once upon a time there was a makinikia story
 
Tatizo ni kutokuwepo kwa JKT kwa miaka said ya 20. Taifa limezalisha mazobazoba. Ni watoto wasiopenda kusoma licha ya kupelekwa shuleni ndio hudai kurithi Mali za wqzazi wait wakati wazazi hao wakiwa hai. Magufuli amesaidia sana kukatiza ndoto za watoto watukutu hawa. Watajifunza tukiri njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H

Ushasema CV zao ziko vizuri maana take hawabebi zege so siyo lazima wawe Canada ndo wafanye shughuli zao hata wakikaa mwaka mzima hapa kazi zao zitaenda vizuri tu, laptop wanazo so wanaweza kufanya kazi zao popote.
Hapa hoja ni kwamba mtu mwenye akili hapendi kukaa na pending au kiporo kwa muda mrefu lazima afanye maamuzi ili aendelee na mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
waseme waaibike!!!Hapa ni kukaa kimya tu na kumsingizia mambo yote Tundu Lissu kuwa ndiye anayewakwamisha kwenye mazungumzo hayo!!!
 
Hivi kwako unafikiri ni kazi rahisi namna hiyo ya kukaa mezani kusema ndiyo au hapana?Siyo hivyo ndugu yangu kila upande unakuwa makini lakini wakijuwa kilicho wapeleka pale nini, wewe subiri utaelezwa nini kimetokea wakati ukifika,haraka haraka haina baraka, mvumilivu ula mbivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
ndege ya barick bado iko pale airport, labda kama waliondoka na pangaboi
 
Mimi natamani hayo mazungumzo yazae matunda.

Natamani wasifikie kwenye zero. Kwamba angalau tupate hata dola 5B itusaidie kujenga Stigler's Gorge ya megawati 2100, na standard gauge ya kwenda mwanza.

Nchi yetu ni masikini. Tuitakie mema hata kama alieko madarakani hatumpendi, yeye ataondoka ila nchi yetu itaendelea kuwepo.

Nchi ni maskini sana, ikitokea tukakosa hizo hela hajakosa Magufuli, tumekosa watanzania, maana hizo hela zitainufaisha zaidi Tanzania kuliko Magufuli, hata kama ni kula hatakula zote.

Mimi binafsi naomba tupate angalau dola 5B tu ziboost bajeti yetu.

Well said
Japo wote tungekuwa na mtazamo kama wako hakika tungekuwa na msimamo mmoja kam Taifa.
 
Mimi natamani hayo mazungumzo yazae matunda.

Natamani wasifikie kwenye zero. Kwamba angalau tupate hata dola 5B itusaidie kujenga Stigler's Gorge ya megawati 2100, na standard gauge ya kwenda mwanza.

Nchi yetu ni masikini. Tuitakie mema hata kama alieko madarakani hatumpendi, yeye ataondoka ila nchi yetu itaendelea kuwepo.

Nchi ni maskini sana, ikitokea tukakosa hizo hela hajakosa Magufuli, tumekosa watanzania, maana hizo hela zitainufaisha zaidi Tanzania kuliko Magufuli, hata kama ni kula hatakula zote.

Mimi binafsi naomba tupate angalau dola 5B tu ziboost bajeti yetu.

Umeandika point tatizo huu utawala umesha mwaga mboga ngoja tu tumwage ugali hakuna namna

Siombei jema lolote serikali hii
 
Mimi natamani hayo mazungumzo yazae matunda.

Natamani wasifikie kwenye zero. Kwamba angalau tupate hata dola 5B itusaidie kujenga Stigler's Gorge ya megawati 2100, na standard gauge ya kwenda mwanza.

Nchi yetu ni masikini. Tuitakie mema hata kama alieko madarakani hatumpendi, yeye ataondoka ila nchi yetu itaendelea kuwepo.

Nchi ni maskini sana, ikitokea tukakosa hizo hela hajakosa Magufuli, tumekosa watanzania, maana hizo hela zitainufaisha zaidi Tanzania kuliko Magufuli, hata kama ni kula hatakula zote.

Mimi binafsi naomba tupate angalau dola 5B tu ziboost bajeti yetu.

..hebu nenda kawape hizi nasaha zako wahanga waliobomolewa nyumba zao na Tanroads.

..how do you think they feel about their country?

..Je, wanajisikia kama waTz baada ya kutendwa namna ile na serikali yao wenyewe?

..Tukitendeana haki, na tukaheshimiana kila mmoja wetu, nina hakika uzalendo utarudi nchi hii.

..Binafsi siamini kama wapo waTz ambao wanaombea wenzao wote au nchi mabaya.

..Naamini wapo waTz wametendewa ubaya na watu fulani na wanawaombea mabaya hao wabaya wao.
 
Mnamtafuta Juma Ponda Mali, yeye ashindwi! Ossoro ndio mshauri hajawahi kuwa hata na kalasha.
 
Mimi natamani hayo mazungumzo yazae matunda.

Natamani wasifikie kwenye zero. Kwamba angalau tupate hata dola 5B itusaidie kujenga Stigler's Gorge ya megawati 2100, na standard gauge ya kwenda mwanza.

Nchi yetu ni masikini. Tuitakie mema hata kama alieko madarakani hatumpendi, yeye ataondoka ila nchi yetu itaendelea kuwepo.

Nchi ni maskini sana, ikitokea tukakosa hizo hela hajakosa Magufuli, tumekosa watanzania, maana hizo hela zitainufaisha zaidi Tanzania kuliko Magufuli, hata kama ni kula hatakula zote.

Mimi binafsi naomba tupate angalau dola 5B tu ziboost bajeti yetu.
Hizi ni ndoto za alinacha.nchi hii haiwezi kuendelea chini ya ccm,never.kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natamani hayo mazungumzo yazae matunda.

Natamani wasifikie kwenye zero. Kwamba angalau tupate hata dola 5B itusaidie kujenga Stigler's Gorge ya megawati 2100, na standard gauge ya kwenda mwanza.

Nchi yetu ni masikini. Tuitakie mema hata kama alieko madarakani hatumpendi, yeye ataondoka ila nchi yetu itaendelea kuwepo.

Nchi ni maskini sana, ikitokea tukakosa hizo hela hajakosa Magufuli, tumekosa watanzania, maana hizo hela zitainufaisha zaidi Tanzania kuliko Magufuli, hata kama ni kula hatakula zote.

Mimi binafsi naomba tupate angalau dola 5B tu ziboost bajeti yetu.
Hata tukikosa sio MBAYA ni sehem ya kujifunzia
 
Back
Top Bottom