Vipi update za mazungumzo na Accacia

Vipi update za mazungumzo na Accacia

Mazungumzo yanakaribia mwezi sasa hatujui nini kinaendelea. Kama vile nakata tamaa ya kupata Noah yangu niliyoahidiwa..Wenzangu vipi mna matumanini??

Bombadier yetu nayo sijui ishapigwa mnada huko Canada!! Yana saivi naogopa hata kwenda nnje ya nchi mana naona wazungu watanipiga mnada kifidia madeni tunayodaiwa.

Wadau maombi yanahitajika kunusuru taifa letu,hali sio shwari kama wengi wenu mnavyodhani
PAMBANA NA HALI YAKO

Sent by Tukunyemamzee
 
Lakini hakuna mazungumzo marefu kiasi hicho we are waiting for updates
Zitakuja muda si mrefu
 
Kwa CV za wale jamaa wa barick sio watu wakupoteza mwez mzima kujadili makinikia! Barick ina oparate maeneo mengi duniani, hawawez kuacha kazi zao wabakie na makanikia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya ulimbukeni wako kwa wazungu kwani CV ndio nini,eti wale jamaa hawana muda je sisi ndio tuna muda?acheni kuwa na fikra duni kisa wazungu,hapa TZ kampuni yao ilikuwa ikiongozwa na Deo Mwanyika je yeye ni mzungu?
 
Kwa wale wasiofahamu. Masungumzo yalikwishamalizika. Baadhi ya wajumbe wa Barrick walikaa siku 3 tu. Hawawezi kukaa na kupoteza muda wote huo kwaajili ya jambo linalofahamika.

Watu hawapati taarifa za ndani kwa sababu serikali haikutaka watu wajue majadiliano yanaendaje na yamekwisha vipi mpaka yenyewe itakapoamua iwaambie nini wananchi, wakati gani na kwa namna ipi.

Wajumbe wote waliapishwa na jaji na kuapa kuwa hawatasema chochote kuhusiana na mjadala wa makinikia. Kikubwa ambacho serikali yetu imefanikiwa ni kuhodhi taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wasiofahamu. Masungumzo yalikwishamalizika. Baadhi ya wajumbe wa Barrick walikaa siku 3 tu. Hawawezi kukaa na kupoteza muda wote huo kwaajili ya jambo linalofahamika.

Watu hawapati taarifa za ndani kwa sababu serikali haikutaka watu wajue majadiliano yanaendaje na yamekwisha vipi mpaka yenyewe itakapoamua iwaambie nini wananchi, wakati gani na kwa namna ipi.

Wajumbe wote waliapishwa na jaji na kuapa kuwa hawatasema chochote kuhusiana na mjadala wa makinikia. Kikubwa ambacho serikali yetu imefanikiwa ni kuhodhi taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si tunasikia hawa jamaa walikuja na Boeing 787 Dreamliner yao na imepaki tu hapo JKNIA ?

Kama bado ipo, basi watakuwa hawajaondoka, majadiliano yataendelea ama wako zao Serengeti National Parks wanakula good time.....

Lakini kama haipo, imeshatoweka, then kazi ya majadiliano ilishakwisha pia na kwa vyovyote vile tumepigwa bao la dobo kwa sbb, km kungekuwa na positive results hawa watawala walivyo arrogant, tayari kungekuwa na Press Conference ya kitaifa kumruhusu Magufuli kuhutubia huku maDC na maRC wakiamuriwa kuhakikisha wananchi wote wanasikiliza hotuba ya Uchwara redioni na kutazama TV kwa lazima......

Na natumaini siku hiyo ingeamuliwa iwe siku ya mapumziko ya kitaifa (public holiday). Huyu ndiye Magufuli Pombe bwana....

Na acha kabisa kucheza na CCM hii ya Magufuli...... kwa sababu ni sheeedah...!!
 
Mbona nimesikia kama ACACIA walishatoa notisi kwetu kwamba wana nia ya kutufungulia kesi ya kutudai TRILIONI tano? Ni kweli? Wenye ushahidi tafadhali mu - upost humu. Kama ni kweli basi maana yake ni kwamba majadiliano yameshavunjika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu mnaangaika saudi Arabia walitumia miezi munane(8) wakati republic of Dominica walitumia miezi sita(6) walipokuwa kwenye mazungumzo na n'arrive. sasa bongo mwezi mmoja tu watu wanataka updates hivi mtu kukulipa mabilioni ya dola unadhani ni rahisi hivyo najiulize kwanini n'arrive, acacia na serikali wote wapo kimya
 
Shida yetu ni kukosa subira. 'Wanaume' wamejitolea kuzileta Noah kabisa ndio maana kuna ukimya. Hebu 'bwageni mioyo', muda huu pambana upate leseni ili siku ya uzinduzi usiseme tumekutenga, maana tutapiga bonge la show tukiperuuuuuuuuz juu ya 'furahi ova' yetu.

Timaaaaaam?
Hivi hizo Noah kila mtu akiwa na yake barabarani kutapitikaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom