Vipi kudeal na mama mkwe mkorofi

Vipi kudeal na mama mkwe mkorofi

Natumai wote wazima humu....kwa hakika ningependa tubadilishane mawazo jinsi ya kudeal na mama mkwe na mawifi wakoro bila kumfanya mumeo akuchukie..mfano mimi mama mkwe wangu ni mkorofi sana na mbeya hataki na mawifi ni hivo hivo mama mkwe akija kwangu anachunguza usafi ....tudeal nao vipi
kazi ipo kweli hapo
 
hivi wanawake mkoje? mbona hakuna kesi za babamkwe au mashemeji. kaka yako au mwanao kaoa lakini huishi kufuatilia maisha yake. na kabla hajaoa kila siku makelele ya tuletee wifi.
 
Hizi issue za kupekuliwa kabati ni uzushi tu hazina ukweli, kwa bahat mbaya mama angu alishafariki tangu nikiwa form six, kabla sijaoa

Ila nachukia wanawake wanaochukia ndugu wa mume zao,

Badilikeni,
Nafikiri unaongea kitu ambacho hukifahamu kabisa kwa taarifa yako haya mambo yapo sana tena sana kuna wakwe ambao hawana busara hata kidogo kama wewe ulibahatisha,kupata wazazi werevu shukuru Mungu.kuna wakwe funga kazi sio kua wanachukiwa ila matendo yao,busara na hekima kwao ni msamiati.
 
Kweli kabisa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mshirikishe mumeo yanayokukwaza kwa mama mkwe wako, mama mkwe wengine wakuda!!!!!!!!!!!
Je kama mume wangu hataki kuskia kitu kuhusu mama yake nifanyaje..
 
hivi wanawake mkoje? mbona hakuna kesi za babamkwe au mashemeji. kaka yako au mwanao kaoa lakini huishi kufuatilia maisha yake. na kabla hajaoa kila siku makelele ya tuletee wifi.
Yaani sema wewe,maana unaonekana unafaidi wakati hata mara nyingine mume hana kitu unatoa mshahara wako
 
Sio kazi yake kukuchunguza hapo sio kwake embu atoe ujinga wake hapo,nyamaza kimya muangalie tu mwisho atachoka mwenyewe.
Upo na mtoto wai siajabu ni chanzo cha uchafu humo ndani anamapungufu kibao ,siku ukichoka mtolee uvivu mpe fact ukiwa unajirekodi ila asije sema umemtukana matusi ya nguoni hawakawii hao

Mimi amewahi niuliza mbona unazaa sana nilimpa moja tu hajarudi,nilimwambia kwa sababu mtoto wako anafanya sana.alifumba mdomo kimya mpaka leo.
Hahahaha, safii
 
Acha uongo bana, sasa wakuchunguze night dress unayovaa wao ni ya nini?

Acha kuwasingizia,
Naona ww hujawah kukutana ña mkwe lawama, mi wangu alifikia hatua anauliza mbona kila cku naona unaanika chup mpya kwenye kamba kwan unazo ngapi? Duuh! Nilimjibu tu kwa upole kuwa, sijui ni ngapi ila muulize mwanao maana ndo anae ninunulia.
 
Naona ww hujawah kukutana ña mke lawama, mi wangu alifikia hatua anauliza mbona kila cku naona unaanika chup mpya kwenye kamba kwan unazo ngapi? Duuh! Nilimjibu tu kwa upole kuwa, sijui ni ngapi ila muulize mwanao maana ndo anae ninunulia.
Kweli mwambie hajawahi kukutana na hali hiyo ndio maana hakubali...ni umbea tu wanataka kujua mtoto wao anapewa nininchumbani
 
Naona ww hujawah kukutana ña mkwe lawama, mi wangu alifikia hatua anauliza mbona kila cku naona unaanika chup mpya kwenye kamba kwan unazo ngapi? Duuh! Nilimjibu tu kwa upole kuwa, sijui ni ngapi ila muulize mwanao maana ndo anae ninunulia.
Hahaha mweeeh nacheka kama mazuri aaaaiii mimi hata sisemi maana.
 
Hizi issue za kupekuliwa kabati ni uzushi tu hazina ukweli, kwa bahat mbaya mama angu alishafariki tangu nikiwa form six, kabla sijaoa

Ila nachukia wanawake wanaochukia ndugu wa mume zao,

Badilikeni,
Wewe ndio unaonekana unahitaji kubadilika. Inawezekana kweli ni za kutunga ila haya mambo yako na tunayaona kila siku sasa iweje ubishe. Watu wanafanyiwa mazito zaidi ya hayo. Mara nyingi chanzo ni umasikini, ubinafsi na tabia za gubu na kutaka kuingilia mamlaka husika. Unaweza kumueleza mtu kuhusu usafi, lkn itategemea umezungumzaje sababu hapo unaingilia mamlaka zisizo zako hata kama unaongea jambi la muhimu. So busara pia ni muhimu kutumika.
 
Wakwe wengi na mawifi hujiona kama vile wana mamlaka juu ya mke aliyeolewq. Yaani hujiona nao ndio mume sasa hili ni kosa. Binafsi ninapenda tuzoeane ila kuwe na mipaka. Eti uingie chumbani kwangu, haiezekani Yaani mlango utauona tu ulee lkn huezi inhia hata siku moja sasa ndio unipekue hapo utanilazimisha nikukosee adabu. Na ni lazima tuzungumze ili ujue sikufurahia,sasa ukiendelea itakua mbaya.
 
Binadamu wengine ni viumbe wabinafsi sana badala mkae mkipanga mbinu za kuimarisha mahusiano yenu na bond kwa njia ya Upendo na maelewano nyie mnatafuta mbinu ya kutengana na kuepukana.
 
Sio kazi yake kukuchunguza hapo sio kwake embu atoe ujinga wake hapo,nyamaza kimya muangalie tu mwisho atachoka mwenyewe.
Upo na mtoto wai siajabu ni chanzo cha uchafu humo ndani anamapungufu kibao ,siku ukichoka mtolee uvivu mpe fact ukiwa unajirekodi ila asije sema umemtukana matusi ya nguoni hawakawii hao

Mimi amewahi niuliza mbona unazaa sana nilimpa moja tu hajarudi,nilimwambia kwa sababu mtoto wako anafanya sana.alifumba mdomo kimya mpaka leo.
Hahaaaaa
 
Tatizo ndugu zangu mkwe wangu atahamia jirani yangu nyumba ya pili yaani sina vya kumkwepa yaani hadi chumbani hupekura pekura
Weka mipaka

Akiingia chumbani mpe za uso tu..... kisha ukisikia sauti yake tu funga milango

Yaani lazima uweke mipaka mapema....wajue nini unapenda nini hupendi nini unakubaliana nacho niji hukubaliani nacho

Tatizo mnappbembeleza ndoa mnaacha mpandwe vichwani baada ya ndoa mnaishia kulialia

Anyway mnapooelewa muwe baraka kwenye familia za watu....
 
Back
Top Bottom