Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,673
- 167,735
Wakwe wengi na mawifi hujiona kama vile wana mamlaka juu ya mke aliyeolewq. Yaani hujiona nao ndio mume sasa hili ni kosa. Binafsi ninapenda tuzoeane ila kuwe na mipaka. Eti uingie chumbani kwangu, haiezekani Yaani mlango utauona tu ulee lkn huezi inhia hata siku moja sasa ndio unipekue hapo utanilazimisha nikukosee adabu. Na ni lazima tuzungumze ili ujue sikufurahia,sasa ukiendelea itakua mbaya.