Natumai wote wazima humu....kwa hakika ningependa tubadilishane mawazo jinsi ya kudeal na mama mkwe na mawifi wakoro bila kumfanya mumeo akuchukie..mfano mimi mama mkwe wangu ni mkorofi sana na mbeya hataki na mawifi ni hivo hivo mama mkwe akija kwangu anachunguza usafi ....tudeal nao vipi