Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 289
Mhh hili ni jibu kweli?Achan na mtoto wao olewa na watakao penda ujing wako na upuuzi wako
Mhh hili ni jibu kweli?Achan na mtoto wao olewa na watakao penda ujing wako na upuuzi wako
elewa kk hakna mtu anaechukia mwenziwake bila kosa. hao ndgu lazima wtakua wana mattizo. na kwn hujui kuwa dunia nzma ndgu wa mume huwa wana hila na gubu? ndo ilivyopngwa na mngu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi issue za kupekuliwa kabati ni uzushi tu hazina ukweli, kwa bahat mbaya mama angu alishafariki tangu nikiwa form six, kabla sijaoa
Ila nachukia wanawake wanaochukia ndugu wa mume zao,
Badilikeni,
mama mkwe wangu Ni Pasua kichwa mbaya lkn namshukuru mungu sijawai muombea afe,kwangu Mimi anaweza kua Hafai lkn kwa wanae Ni every thingMmh sijawahi kuwaza hivyo na wala sitoomba niolewe na yatima, itokee tu labda. Can't imagine huko nje kuna mtu anawish wazazi wangu wafariki ili yeye aje aolewe (God forbid). Wakwe, mawifi sio malaika just like ndugu zetu wengine. Kuna ndugu au hata wazazi ni pasua vichwa hadi unatamani ufute undugu, but sidhani kama tumeshawahi waombea wafariki. BTW na wewe si ni mwanamke, utakuwa laana kwa mawifi zako?? (coz hakuna wifi wala wakwe wazuri)
we kaka itakua ni malaika ww si bure. umenena ukwli mtpu. lkini ujue kwmba hawa wtu hta ukiwakalia kmya hakiyamngu hawaachi vtuko tna ndo vnazidi mpka siku kuwatolea uvvu hta kwa vtendo tu [emoji23][emoji23][emoji23]Wamekujibu mengi mpaka nimeshindwa kuyasoma yote. Kama kuna aliyeandika haya yangu, basi yapotezee.
Back to the point;
Ni sheria isiyo badilika. Mama mkwe kamwe hakosei wala hawezi kuambiwa ati kakosea. Ikae hivyo na uikubali, ndipo wewe utajulikana kuwa unamheshimu.
Mawifi; Usiwanenee mabaya yeyote mbele yao au mama yao. Utazusha zogo litakushinda kumaliza.
Tatu na mwisho;
Nyumba yako itakuwa imara kama mumeo akiweka paamba masikioni na kuwaambia wote, mamake na dadaze kuwa yeye ndiye kaoa wala si wao waliooa.
Awaambie kuwa, kampenda mchafu wake, mvivu wake na timbwatimbwa lake. Full Stop. Hahitaji kusaidiwa kukupenda. Akisimama na hilo, umepona. Akiungana nao, hiyo nyumba hukai. Hata kwa ndumba
na ndo watamuogopa vnginvyo ataendelea kuhenya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi awe mbabe kuliko wao lols
yes. wngine huwa mabwegeInahitaji mwanaume kamili kufanya hivyo,
ukutane na mtoto WA mama..unafikiri atakuelewa mama yake hakoseiMshirikishe mumeo yanayokukwaza kwa mama mkwe wako, mama mkwe wengine wakuda!!!!!!!!!!!
Wengine humu mama zao wanawapasua vichwa hadi akili zinawakaa sawa, sijui kama huwa wanawaombea wazazi wao mabaya kiasi hicho. Kweli wewe kwako anaweza asikufae, ila kwa wanawe, yeye ndo kila kitu chao. Tuvumiliane to, hata sisi tuna tabia nyingine zinawakera watumama mkwe wangu Ni Pasua kichwa mbaya lkn namshukuru mungu sijawai muombea afe,kwangu Mimi anaweza kua Hafai lkn kwa wanae Ni every thing
tunatakiwa tuishi nao ivyo ivyo km ambavyo tungeishi na ndugu zetu pasua kichwa
kma ni muelewa atakuelewa ila kma ni wale wnye kuskiliza wzz hta kama jmbo la uongo bsi ndgu umekwsha ndoa itakua chngu kila ksa la mamamkwe utaangushiwa ww na hta kma kakukosea mumewe atakugeuka na atakua upnde wa *****.Ivi naweza mwambia mume wangu kama nikekereka na mama yake
ndo ushangae hpo ss. na kbaya zaidi hta hyo mke huenda ikawa wamchgulia ndg yao na wlmpnd ila tu alivooa na kuanza maish na hyo bibie kitimtim kilianzia hapo.hivi wanawake mkoje? mbona hakuna kesi za babamkwe au mashemeji. kaka yako au mwanao kaoa lakini huishi kufuatilia maisha yake. na kabla hajaoa kila siku makelele ya tuletee wifi.
bsi nyamaza. tna hyo mama akishahamua hpo kwke wla usimfatize matndo yke na hta akija kwko ingia chmban jfungie mpka atakapomaliza operation saka mannzi hahahah. na hta akikuuliza ktu mjibu kw mkato tna onesha hufurahii matndo yke. nakuahidi kw action hyo atachka na ufisadi wkeJe kama mume wangu hataki kuskia kitu kuhusu mama yake nifanyaje..
kuna wkwe wana hila jmani nashangaa mkwe anaingiaje chmban kwa mwanae?Ohoooo utawangiwa sio muda, mkwe anaingiaje chumbani kwenu?
hii style ya kukaa kimya Mie imenisaidia Sana,Njia zipo nyingi
kuna kukaa mbali nao..mkoa mwingine
kuna kuwa mbabe kuliko wao hadi wanakuogopa
kuna kuwa mkimya huongei lolote hadi wanajiuliza huyu bubu
the choice is yours
sio kuwaombea wafe. yni upte mume ambae wazz wke walishatngulia mble y hki. na hyo point yngu ni kwmba hawa wtu hawkwepeki vtko vyaoMmh sijawahi kuwaza hivyo na wala sitoomba niolewe na yatima, itokee tu labda. Can't imagine huko nje kuna mtu anawish wazazi wangu wafariki ili yeye aje aolewe (God forbid). Wakwe, mawifi sio malaika just like ndugu zetu wengine. Kuna ndugu au hata wazazi ni pasua vichwa hadi unatamani ufute undugu, but sidhani kama tumeshawahi waombea wafariki. BTW na wewe si ni mwanamke, utakuwa laana kwa mawifi zako?? (coz hakuna wifi wala wakwe wazuri)
soma vzri cmment na uielewe sijaandika neno kuombea afe. lol.mama mkwe wangu Ni Pasua kichwa mbaya lkn namshukuru mungu sijawai muombea afe,kwangu Mimi anaweza kua Hafai lkn kwa wanae Ni every thing
tunatakiwa tuishi nao ivyo ivyo km ambavyo tungeishi na ndugu zetu pasua kichwa
nadhn kna umihmu wa kuelewa kilichoandikwa kbla ya kurukia na kucmment negitivity.Wengine humu mama zao wanawapasua vichwa hadi akili zinawakaa sawa, sijui kama huwa wanawaombea wazazi wao mabaya kiasi hicho. Kweli wewe kwako anaweza asikufae, ila kwa wanawe, yeye ndo kila kitu chao. Tuvumiliane to, hata sisi tuna tabia nyingine zinawakera watu
Nimekuelewa, and nikacomment kwa jinsi nilivyokuelewa. Be careful with what you wish. Humuombei mabaya mtu specific, ila maombi yako ni kwamba ukutane na wanaume ambaye ni yatima, kuna mtu anapenda uyatima? ?? Kuna mtu anayependa wazazi wake wafariki bila kushuhudia ndoa zao au wajukuu zao? ?? Majonzi ya mtu yakakunufaishe wewe? Tukisema kila mtu anawish aolewe na yatima, jua kuna mtu atawish wazazi wako wafariki pia hata kama hajawajua bado. Sisi tunaoolewa ndo malaika sana? Au sisi na wazazi wetu tukiwa mawifi au wakwe ndo tunakuwa wema, ila wazazi na madada wa waume zetu ndo wenyewe wabaya tu milele????It's your wish, but kuna vitu kuviongea mbele za watu si vizuri. Lilikuwa tu wazo langu, I didn't mean to offend younadhn kna umihmu wa kuelewa kilichoandikwa kbla ya kurukia na kucmment negitivity.
kbla hta sijamaliza ksoma cmnt yko yte. nadhan japo unahsi umeelewa nlichkoment bdo unaonekana hujaelewa. looks like u are depressed or smthng. pole. am outta here.Nimekuelewa, and nikacomment kwa jinsi nilivyokuelewa. Be careful with what you wish. Humuombei mabaya mtu specific, ila maombi yako ni kwamba ukutane na wanaume ambaye ni yatima, kuna mtu anapenda uyatima? ?? Kuna mtu anayependa wazazi wake wafariki bila kushuhudia ndoa zao au wajukuu zao? ?? Majonzi ya mtu yakakunufaishe wewe? Tukisema kila mtu anawish aolewe na yatima, jua kuna mtu atawish wazazi wako wafariki pia hata kama hajawajua bado. Sisi tunaoolewa ndo malaika sana? Au sisi na wazazi wetu tukiwa mawifi au wakwe ndo tunakuwa wema, ila wazazi na madada wa waume zetu ndo wenyewe wabaya tu milele????It's your wish, but kuna vitu kuviongea mbele za watu si vizuri. Lilikuwa tu wazo langu, I didn't mean to offend you
Hahaha ok swthrt. ......Chillaxkbla hta sijamaliza ksoma cmnt yko yte. nadhan japo unahsi umeelewa nlichkoment bdo unaonekana hujaelewa. looks like u are depressed or smthng. pole. am outta here.