Vipi kudeal na mama mkwe mkorofi

Vipi kudeal na mama mkwe mkorofi

Sio kazi yake kukuchunguza hapo sio kwake embu atoe ujinga wake hapo,nyamaza kimya muangalie tu mwisho atachoka mwenyewe.
Upo na mtoto wai siajabu ni chanzo cha uchafu humo ndani anamapungufu kibao ,siku ukichoka mtolee uvivu mpe fact ukiwa unajirekodi ila asije sema umemtukana matusi ya nguoni hawakawii hao

Mimi amewahi niuliza mbona unazaa sana nilimpa moja tu hajarudi,nilimwambia kwa sababu mtoto wako anafanya sana.alifumba mdomo kimya mpaka leo.
Ww ndo walewale tuuu wanawake wasiokuwa na adabu kwa wazaz,
 
Kukomesha ayo yote nikua na ushilikiano na mkeo then ww mwanaume ujitambue kua uyu mke ananafas yake uyu mama nae ananafasi yake bas mwisho wamchezo nakumpenda mkeo na yy ajieshim
 
Ww ndo walewale tuuu wanawake wasiokuwa na adabu kwa wazaz,
Kwenda ukoo,afadhari kutokua na adabu kuliko kua mume usieweza kumtetea mke wako,unamruhusu mama ako akague mke wako we unaweza kuruhusu mama ake akukague?usilazimishe uambiwe upungufu wako kulinganisha na wanaume wenzako usijifanye wewe uko perfect.Aina yako ndo walewale hela huna,sura huna,hata adabu hun
 
Mama angu hawezi Kuja kwangu akague kabati akague vitu vyangu hawezi hata siku moja
He he he upo moto it seems mama ako ni msemaji wa ndoa yako eeh, nyumba iwe na nzi iwe na nyoka ni nyumba yako wewe no mkeo full stop sio kazi ya mtu mwingine
Hizi issue za kupekuliwa kabati ni uzushi tu hazina ukweli, kwa bahat mbaya mama angu alishafariki tangu nikiwa form six, kabla sijaoa

Ila nachukia wanawake wanaochukia ndugu wa mume zao,

Badilikeni,
 
Kwenda ukoo,afadhari kutokua na adabu kuliko kua mume usieweza kumtetea mke wako,unamruhusu mama ako akague mke wako we unaweza kuruhusu mama ake akukague?usilazimishe uambiwe upungufu wako kulinganisha na wanaume wenzako usijifanye wewe uko perfect.Aina yako ndo walewale hela huna,sura huna,hata adabu hun
Badilika, wapende ndugu wa mumoe binti
 
Hizi issue za kupekuliwa kabati ni uzushi tu hazina ukweli, kwa bahat mbaya mama angu alishafariki tangu nikiwa form six, kabla sijaoa

Ila nachukia wanawake wanaochukia ndugu wa mume zao,

Badilikeni,
Kama hujawahi ona poleni, bibi angu alikua akienda kwa dada anakagua hadi vyooni anaingia chumbani anafungua kabati dada angu alikua hapendi pia, wazazi wa hivo wapo
 
Mmmhhhh mi wakwangu ninoma kila mwezi anaomba hela asipotumiwa namwanae anasemanini nimwambie mwanae anitumie kwakua minimke wake ndugu zake wote macho kwa kakayao wakati ndotunaanza maisha na mbaya zaidi yupo chuo sasa huwa sielewi hawana hata huruma nivisirani balaa
 
Wamekujibu mengi mpaka nimeshindwa kuyasoma yote. Kama kuna aliyeandika haya yangu, basi yapotezee.
Back to the point;
Ni sheria isiyo badilika. Mama mkwe kamwe hakosei wala hawezi kuambiwa ati kakosea. Ikae hivyo na uikubali, ndipo wewe utajulikana kuwa unamheshimu.
Mawifi; Usiwanenee mabaya yeyote mbele yao au mama yao. Utazusha zogo litakushinda kumaliza.
Tatu na mwisho;
Nyumba yako itakuwa imara kama mumeo akiweka paamba masikioni na kuwaambia wote, mamake na dadaze kuwa yeye ndiye kaoa wala si wao waliooa.
Awaambie kuwa, kampenda mchafu wake, mvivu wake na timbwatimbwa lake. Full Stop. Hahitaji kusaidiwa kukupenda. Akisimama na hilo, umepona. Akiungana nao, hiyo nyumba hukai. Hata kwa ndumba
 
Actually nlikuwa nafanya kazi mume wangu akaniachisha akasema labda nijifanyie biashara..lakini nilipotaka kuanza biashara mama mkwe alikataa na kusema kwani mwanawe hanilishi hata nifanye biashara na mume wangu alimsapoti mama yake..japo aliniruhusu mwenyewe nianza biashara
Mkuu una kibarua kizito..Mana hapo inaonekana kama umeolewa na wote wawili..Mama na mwanae..Na mbaya zaidi inaonekana mwanaume hana kauli kwa mama yake kitu kinachofanya we uwe kwenye nafasi mbaya zaidi..Ulikosea sana kukubali kuachishwa kazi..Kukaa home na huyo mama mkwe ni mtihani..Tafuta shughuli ya kufanya
 
Hizi issue za kupekuliwa kabati ni uzushi tu hazina ukweli, kwa bahat mbaya mama angu alishafariki tangu nikiwa form six, kabla sijaoa

Ila nachukia wanawake wanaochukia ndugu wa mume zao,

Badilikeni,
Nahisi wewe ndo mleta mada maana unaujua uzushi,hujaona wewe kama hujaona nyamaza!limekuuuuuma au huyu binti mkeo?unamtetea mama ako msukununu?
 
Wamekujibu mengi mpaka nimeshindwa kuyasoma yote. Kama kuna aliyeandika haya yangu, basi yapotezee.
Back to the point;
Ni sheria isiyo badilika. Mama mkwe kamwe hakosei wala hawezi kuambiwa ati kakosea. Ikae hivyo na uikubali, ndipo wewe utajulikana kuwa unamheshimu.
Mawifi; Usiwanenee mabaya yeyote mbele yao au mama yao. Utazusha zogo litakushinda kumaliza.
Tatu na mwisho;
Nyumba yako itakuwa imara kama mumeo akiweka paamba masikioni na kuwaambia wote, mamake na dadaze kuwa yeye ndiye kaoa wala si wao waliooa.
Awaambie kuwa, kampenda mchafu wake, mvivu wake na timbwatimbwa lake. Full Stop. Hahitaji kusaidiwa kukupenda. Akisimama na hilo, umepona. Akiungana nao, hiyo nyumba hukai. Hata kwa ndumba
Inahitaji mwanaume kamili kufanya hivyo,
 
Hapana, inamuhitaji mwanamume anayempenda mkewe na kuujua wajibu wake kwa mkewe. Sija,wokota barabarani mke wangu. Alikuwa kwao nikamtoa kwao na kumhakikishia ulinzi. Ukijua hilo, wala haikupi shida.
[emoji7] [emoji8]
 
Njia zipo nyingi
kuna kukaa mbali nao..mkoa mwingine
kuna kuwa mbabe kuliko wao hadi wanakuogopa
kuna kuwa mkimya huongei lolote hadi wanajiuliza huyu bubu

the choice is yours
Good idear
 
Mmmhhhh mi wakwangu ninoma kila mwezi anaomba hela asipotumiwa namwanae anasemanini nimwambie mwanae anitumie kwakua minimke wake ndugu zake wote macho kwa kakayao wakati ndotunaanza maisha na mbaya zaidi yupo chuo sasa huwa sielewi hawana hata huruma nivisirani balaa
Yaaaaan kama mimi kuolewa tu imekuwa shida yaan wanahisi nazuia wasipate pesa na wakati ndio kwanza tunaanza maisha hata kujenga bado.mungu tu asimame kwa kweli
 
Back
Top Bottom