Sio kazi yake kukuchunguza hapo sio kwake embu atoe ujinga wake hapo,nyamaza kimya muangalie tu mwisho atachoka mwenyewe.Unachotakiwa kufanya ni kuacha huo uchafu na uwe msafi!!
"Mama mkwe akija anachunguza usafi"... Anachunguza ni kwa sababu ww ni mchafu, nyumba imechafuka, mainzi yamejaa sebulen na kila mahali, unataka mama mkwe asiseme??
Acha kukariri kuwa mawifi na wakwe ni wabaya! Je na ww ni mbaya kwa mawifi zako wake wa Kaka zako??
Mtu hawez kuwa mkorofi Bila sababu, km ww ni mchafu na mama mkwe anapenda usafi ni lazma mugombane tuuu!!
Badilika,
Upo na mtoto wai siajabu ni chanzo cha uchafu humo ndani anamapungufu kibao ,siku ukichoka mtolee uvivu mpe fact ukiwa unajirekodi ila asije sema umemtukana matusi ya nguoni hawakawii hao
Mimi amewahi niuliza mbona unazaa sana nilimpa moja tu hajarudi,nilimwambia kwa sababu mtoto wako anafanya sana.alifumba mdomo kimya mpaka leo.