Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

The Bold si unajua mimi ni shemeji..!

Sasa do a favour! Mimi nimekupa Dada yangu Nifah..

On the basis of that and as a matter of showing respect to your in-laws

KESHO TUWEKEE EPISODE YA TANO SAA 12 JIONI

Kwa hisani ya mashemeji wote! Mkuu ukifanya hivyo hata yale mahari ambayo hukumalizaga mimi nakusamehe tuu...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fanya hivyo mkuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mnataka kuniozesha bure kisa hadithi? [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndugu hao jamaa wa usalama ukiingia anga zao huwa sio watu wazuri
Aisee,yaani nakwambia hivi hii stori kuna matukio yanasadifu kabisa na issue ya dogo.
Pale alipoenda Posta na kuchukuliwa na yule dada, vile abavyofatiliwa na watu,vile walivyomtumia Ray kupata pesa kwenye mirad ya NGO
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kudadeki nasaka ep3 ila niclick pale mwanzo inakuja huku mwisho na sio sehem husika

Naona umetambaa balaa..ngoja nililud mdogo mdogo maana njia ya mkato nimejarbu mala7 sasa hainipelek.mahala husika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mnataka kuniozesha bure kisa hadithi? [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Dada tulia basi na wewe! Nitakuchomea kwa mshua huku amkatae The Bold a.k.a the Narrator [emoji23][emoji23][emoji23]

#release-episode-5
 
Dah hadithi nzurii hii plz Mkuu naomba uniongeze idadi kwe hizo tags sababu nachelewa kuona ukituma mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom