Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hahahaha hapo Dark City pameshindika aisee. Mkubwa ndevu mdogo ndevu. Yaani siku ya kwanza tu kuna dogo wa kama 4 years hivi kanatusalimia 'Oya washkaji mambo vipi?'. Hapo ndio nikajua siko eneo salama.
Dark City ni kwa wenyej tu ndio salama,ila kwa wageni kweli ni shida,halafu kuna jamaa humu anajiita Dark City sijui ni wa pande hizi
 
Ngachoka mie ss mhaya wangu ushaingia vitani na wenzako,kumbe bwana sometimes tunatakiwa kuwa waangalifu kwa misaada
kajichanganya sana baba bite hakuwa mtu mzuri sana ila kajisahau kwamba alitolewa damu hawa watu wanaweza kumtrack muda wowote na mbaya zaid namuonea huruma issack
 
kajichanganya sana baba bite hakuwa mtu mzuri sana ila kajisahau kwamba alitolewa damu hawa watu wanaweza kumtrack muda wowote na mbaya zaid namuonea huruma issack
Alitakiwa kufanyia kazi hisia zake kuhus Ba Bite lkn wale ndugu zetu c unajua watata kila ktu wanajua
Isack na yy ishakula kwake pole zake tumuombe wasimulimboka tu
 
Yaani Mkuu The bold hii ilipoishia ndio patamu zaidi kuliko ile nyingine halafu mbona imekuwa fupi sana.
Mkuu hebu futa comment yako uliyoquote uzi wote! Unasababisha usumbufu kwa wanaotumia app kwenye simu..

Tunaongea hili suala kila siku! USIQUOTE MAELEZO MAREFU..

wewe mzoefu alafu nashangaa kwanini umefanya hivi.. Futa ile comment tafadhali
 
Mkuuu hivi Leo ni fupi sana au ni utamu wa hii kitu ..Leo umetukomesha naona mkuu hujatuandikia lini inafata ,ya isack tumeyajua ya usalama wa taifa ...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom