glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,019
- 1,413
HahahahahahaUuuiiiwi, this kitu ni hatari aisee, the board , kule usalama wa taifa. Daafedeki. Lazima ukufe tu
HahahahahahaUuuiiiwi, this kitu ni hatari aisee, the board , kule usalama wa taifa. Daafedeki. Lazima ukufe tu
HahahahahahahahahaHao usalama wa taifa wangemchukua pia na The transporter kwa Ku quote uzi
Character wa kuwaweka ndani ya story hapa bongo ndo tatizokula like kubwa hiyo mkuu. simulizi inasisimua hatari.
yani hii kama inachezewa series basi itakuwa series nzuri sana ya kibongo.
Basi yaishe jamani The Transporter amekiri kuwa alinogewa na UZANDIKI WA BABA BITE na vile yule mtoto alivyomlalia kifuani JAMAA USIKU MZIMA[emoji23][emoji23][emoji23]Unazingua jamaa, sio lazima uquote stori nzima
Hao 'The Board' ni mafia sana.Hahahahahaha
Kaka The bold wednesday is too fai please tufanyie hata keshoKesho tuvute pumzi kidogo.! Kesho ni mda wote naudediketi kwako.. Episode 5 , j'tano
Ndugu hao jamaa wa usalama ukiingia anga zao huwa sio watu wazuriHao 'The Board' ni mafia sana.
Kuna mambo anayahadithia The bold hapa yalimkuta Mdogo wangu na yanarandana kabisaaa.
Hadi leo hayupo sawa 100%
Mkuu bonyeza kitufe cha report kwenye hiyo post aliyoqoute, na weka sababu ya kuiripoti, Moderators wataishughulikia?Anunue kifaa chenye uwezo unampa hela au??
Kuwa mstaarabu acha kukwaza wengine
Awwwwwwww bora tu maana this is too much,sio kwa kuwa huku busy.Kesho tuvute pumzi kidogo.! Kesho ni mda wote naudediketi kwako.. Episode 5 , j'tano
Hapa tushanuna wala sio uwongoAwwwwwwww bora tu maana this is too much,sio kwa kuwa huku busy.
(Raia watanunaje sasa?)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
character wapo watu mil50 hatuwezi kukosa waigizaji. si lazima tutumie hawa waliopo.wengi masharobaro. unatafuta then unawatrain kidogo wataweza. ishu madirector tu ndo ishu. story inakuwa nzuri wao wanaaribu.Character wa kuwaweka ndani ya story hapa bongo ndo tatizo
Otherwise tungekuea tunaitafuta prison break
The Bold si unajua mimi ni shemeji..!Kesho tuvute pumzi kidogo.! Kesho ni mda wote naudediketi kwako.. Episode 5 , j'tano