Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

character wapo watu mil50 hatuwezi kukosa waigizaji. si lazima tutumie hawa waliopo.wengi masharobaro. unatafuta then unawatrain kidogo wataweza. ishu madirector tu ndo ishu. story inakuwa nzuri wao wanaaribu.
Tutamchukua Tchidi Chikere wa Nigeria na hiyo training labda iwe nje ya bongo aisee na waalimu tu-outsource abroad
 
Jamani mi naproposal
Kama mkuu The bold atakubali ombi letu na nyie wadau addicted like me mtaridhia, tutume walau a minimum of buku 2 kwa wale tunaotaka epsode 5 kesho badala ya jumatano
Ni wazo tu jamani, maana sio kwa hamu hii
 
mi shida yangu sio kichwa kukamatwa, namuwaza CHEUPE tu. siamini kama jua la saa 6 lilikimaa kabla hajapata mrith......! kufa kufaana najua akiba 'baba bite na tony mzee wa bata hawachelewi kujifanya wanamsaidia cheupe kumbe' shemeji shemeji huku wazina taa'. Sifa nyingi kwako mkuu The bold. ishi siku nyingi dunia ikufaidi kwa kazi za kalamu yako
Hhahha mimi baba bite nilisham request cheupe kitambo na ndo maana nimehama pale ili hata the board wakinitafuta na mm wanikose
 
Jamani mi naproposal
Kama mkuu The bold atakubali ombi letu na nyie wadau addicted like me mtaridhia, tutume walau a minimum of buku 2 kwa wale tunaotaka epsode 5 kesho badala ya jumatano
Ni wazo tu jamani, maana sio kwa hamu hii
Na wasipo sikiliza proposal yako kwa hasira "mcheki" The Bold wewe mwenyewe binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom