Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Maybe sikukusikia vizur
Wacha nikukumbushe..

Kuna apartments Tatu.. Zote ziko ndani ya uzio mmoja! Apartment mbili zinafanana (vyumb viwili, choo, jiko) hizi moja anakaa Ray na nyinge anakaa mla bata Tony na 'demu' wake grace..
Apartment nyingine iko tofauti kidogo, ina vyumba vitatuu, choo na jiko.. Hii amepanga baba bite na anaishi na mkewe, mtoto wao wa miaka minne beatrice (bite) na msichana wa kazi..


Umekumbuka??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom