Upande wa maadui
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 199
- 160
The bold shushaaa mawee
Mkuu sikuwa na lengo LA kumkwaza kaanza kuandika Kwa dharau kwamba angeandika kiustaraabu anegeleweka tuAnunue kifaa chenye uwezo unampa hela au??
Kuwa mstaarabu acha kukwaza wengine
Unavotuburudisha na hyo movie ukimsaidia the bold keep t upNimekufurahisha na nini mkuu?
Naitafuta siioni itakuwa imeshafutwaMkuu hebu futa comment yako uliyoquote uzi wote! Unasababisha usumbufu kwa wanaotumia app kwenye simu..
Tunaongea hili suala kila siku! USIQUOTE MAELEZO MAREFU..
wewe mzoefu alafu nashangaa kwanini umefanya hivi.. Futa ile comment tafadhali
Yani Mkuu mpaka wewe na uzoefu wako wote wa JF unafanya hivi..Asante mkuu lini tena?
Dah samahani kwa usumbufu haikuwa nia yangu nilijisahau ni kati vitu nisivyotamani kufanya ni bahati mbaya mkuuYani Mkuu mpaka wewe na uzoefu wako wote wa JF unafanya hivi..
Tunaekezana kila siku!! USIQUOTE MAELEZO MAREFU.. UNASABABISHA USUMBUFU KWA WANAOTUMIA APP KWENYE SIMU..
tusaidie tafadhali futa hiyo comment uliyoquote episode 4


Clkey
Sorry kuna comment nilikuquote kwa makosa.. Nimeshaifuta ila sory kama uliiona but kama hujaiona nirudishie sory yangu![]()
Soma vizuri! Hakuna sehemu imeelezwa Baba bite ndio mwenye nyumbaIla mkuu mwanzo c ulisema baba bite ndo mwenye nyumba iweje ahame alaf aache kodi ya miezi minne.. Au ndo MWENYE NYUMBA KAPANGA, Hahahaha
Tayari Mkuu post # 852Mkuu umetoa Episode ya 4?
Hahahah mkuu hata sijaona kabisaa
Kuwa na amani mm huwa sinuni ovyooo
