Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Sasa kumbe unajijua mshamba halafu unajitia mjuaji na kutanguliza matusi juu?
Watu wengine bwana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Basi basi baaaasi,
Msamehe,
 
Wacheki Kinana na Zakhia pale lumumba huwa wanakutana na Erick wakati akienda kudai chake watakupa hata namba yake binafsi

KADA
 
Si cha yule anaekata nyeti....?
Hapana, kile cha kukata nyeti ni mdada fulan aliewachukia wanaume na kuanza kuwakata nyeti zao baada ya kuwalewesha.
Siku za mwisho za uhai wangu ni jamaa aitwaye Mike na mpenzi wake Beatrice Rugangikira, inahusu maambukizi ya ukimwi maana jamaa na mke wake wote walikufa kwa ngoma.
 
The böld kasepa wakuu hoja nihame jukwaaa nshachoka nisubiri
 
The bold [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] mbn kmy au kuna kamchango mkuu
 
The bold, nimescroll mpaka nimeishiwa charge kwa kusaka episode #3
 
Sikuwahi kuhisi kama mashabiki wa Madale wanaweza kuandika kitu kizuri namna hii.

Nilikuwa nasoma zile makala zako za Ulaya,America na Asia nikawa nahisi zile hazina ufundi wowote zaidi ya kubadili lugha tu na kucheza maneno kutoka kwenye vyanzo vyako vya kiingereza.

Sikuwahi kukubali kwa kiwango kikubwa namna hii.

Ila kwa hii kitu nasema RASMI nimekuelewa mkuu..wewe ni mtunzi Hodari ongeza juhudi na bidii naweza kuja kukuweka kwenye list yangu pembeni ya Hussein Issa Tuwa,Beka Mfaume,George Mosenya na Sultan Tamba watunzi wangu mahiri wa kizazi hiki.

niffah
Unamsahau vipi kamanda amata?
 
Bado tu aisee mkubwa wetu,nmeshachungulia hapa kama mara mia aisee toka pakuche
hilo jukumu si ulinipa mm? siwezi kukusahau ukiona haujaitwa ujue chakula hakijaiva ,,,
the bold usije ukawa unachemsha mawe mbona hakiivi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom