Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kipaji ulicho nacho. Hii simulizi ni nzuri sana kuanzia mtililiko mazingira mpaka namna ya kufikirisha.
Binafsi naomba niwe kati ya watu utakuwa unawatag (Naomba uni-tag)
Pia naomba kama ikikupendeza na ukawa na muda basi uongeza dose at least mara tatu kwa week. Hii alosto ni noma.
Mwisho naomba umsabahi shem Nifah mwambie tunampongeza kwa kukubali brother yetu, na mwambie akipata muda atimbe huku masikani tarime.
Salaam zimefika mkuu,bila shaka nitakuja na bwana mkubwa panapo majaaliwa.
Nashukuru sana

