Mamii.. Plz naomba umwambie shemeji asinisahau na mie katika kuwa tagged.. [emoji41]You guys leo mmeamua [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu wetu kaka,kazi niachie hiyo ukiwa na amani kabisa.Hapa nakuunga mkono dada angu sina tatizo na wewe ila ufanye mambo yetu Msondo na Mkoleni umtoe shemeji kule M"UJANJA UJANJA FC "AJE" kwetu "MZIKI MZURI"
The bold
Aiseeeee hii riwaya niliisoma nikiwa std 6,nilikuwa nalia kila siku hadi kitabu kilipoisha.Raisi anampenda mke wangu ndio riwaya nzuri zaidi kutoka kwa Shigongo zilizobaki zote zikawa za kusadikika
Hiyo siijui ila sidhani kama ni nzuri kuliko Raisi anampenda mke wangu.Why didi you kill me.patricia nayo ilikuwa bomba sana
Hivi ata mkeo anasubiri Kila jumamosi kweli au amesha fika hadi part 9 .any way usisahau kunitag stori mzuri sana
Jamani hakuna cha mke wake wala nini,kanikazia hadi mimi nimpaye usingizi.Nahisi kama vile wewe ushafika episode ya 7 au hua anakusimulia kabsaa kwanza then ndio anatunga[emoji23] [emoji23]
Yeah,hii nayo ilikuwa kali japo nimeanza kuisahau.Why didi you kill me.patricia nayo ilikuwa bomba sana
Hio sio Anna don't kill my childeren?Yeah,hii nayo ilikuwa kali japo nimeanza kuisahau.
Hii ndio ile ya yule bibi mchawi anamtesa mwanae aliyekataa kurithi uchawi?
Bibi yake Patrick sijui....
Nakumbukaga niliipenda ila nimeisahau kabisa mkuu...Yeah,hii nayo ilikuwa kali japo nimeanza kuisahau.
Hii ndio ile ya yule bibi mchawi anamtesa mwanae aliyekataa kurithi uchawi?
Bibi yake Patrick sijui....
Ooooopppsss there you are.Hio sio Anna don't kill my childeren?
Binti ambaye mama yake mchawi na alikataa kurithi kazi ya mama.