Sikuwahi kuhisi kama mashabiki wa Madale wanaweza kuandika kitu kizuri namna hii.
Nilikuwa nasoma zile makala zako za Ulaya,America na Asia nikawa nahisi zile hazina ufundi wowote zaidi ya kubadili lugha tu na kucheza maneno kutoka kwenye vyanzo vyako vya kiingereza.
Sikuwahi kukubali kwa kiwango kikubwa namna hii.
Ila kwa hii kitu nasema RASMI nimekuelewa mkuu..wewe ni mtunzi Hodari ongeza juhudi na bidii naweza kuja kukuweka kwenye list yangu pembeni ya Hussein Issa Tuwa,Beka Mfaume,George Mosenya na Sultan Tamba watunzi wangu mahiri wa kizazi hiki.
niffah