johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Hivi ata mkeo anasubiri Kila jumamosi kweli au amesha fika hadi part 9 .any way usisahau kunitag stori mzuri sana
Jamaa kauzu huyu mke pia anachomeshwa mahindi kama sisi tu
Hivi ata mkeo anasubiri Kila jumamosi kweli au amesha fika hadi part 9 .any way usisahau kunitag stori mzuri sana
Jamaa kauzu huyu mke pia anachomeshwa mahindi kama sisi tuBest ever kwangu mimiWhy didi you kill me.patricia nayo ilikuwa bomba sana
No hii kuna mtoto nahisi anaitwa Grayson alizaliwa na utindio wa ubongo mama ake akawatelekeza akaja akapata ukimwi akamuambukiza mumewe, ,,.... aahghhhha nishaisahau,Yeah,hii nayo ilikuwa kali japo nimeanza kuisahau.
Hii ndio ile ya yule bibi mchawi anamtesa mwanae aliyekataa kurithi uchawi?
Bibi yake Patrick sijui....
Std six duAiseeeee hii riwaya niliisoma nikiwa std 6,nilikuwa nalia kila siku hadi kitabu kilipoisha.
Dah Shigongo pale alituliza kichwa bwana.
Siyo mnachanganya hii ilitokaga 2002/3Hio sio Anna don't kill my childeren?
Binti ambaye mama yake mchawi na alikataa kurithi kazi ya mama.
Mwanabodi nakusomaaaMkuu ishafika jioni
Baba Bite uko poaMwanabodi nakusomaaa
Aisee jamaa anatulaza na viatu leo kwa kweli. alafu huku napo umeme umekata simu haina chaji... aaghhhhh,! siku ya kufa miti nyani wote hutelezaBaba Bite uko poa

Baba Bite ebu jiongeze nahisi mkuu atashusha badae make naona wote na shemu hawaonekani ngoja wamalizie wekeendAisee jamaa anatulaza na viatu leo kwa kweli. alafu huku napo umeme umekata simu haina chaji... aaghhhhh,! siku ya kufa miti nyani wote huteleza![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu shem.Absentee shemu kwa taarifa