Pamoja mkuu tunasubiriShukrani sana Mkuu! Leo jioni episode 3 unakuwa hewani..

Hahahahah! Mbona hakuna jina langu humo..
Aiseee baba bite anayekuingilia kavamia tren kwa mbele kama sio mwendokasimsiniingilie baba bite jamani nishabook jina mapeemaaa!!
Mkuu nipe post number ya hilo dokezo na Mimi niongeze mshawasha wa kusubiri Episode 3!Mkuu The Bold shikamooooooo ,ulichotudokezea jana mmmmmh hatari tupu Leo usitusahau
Nami ikiwa hewa Episode 3 nitagi kwenye post hiyo. Pia moderators wanaweza kutengeze ID moja yenye mkusanyiko wa members wote wenye interest na story hii Mfano waID hiyo ni The Bold followers. Kiasi the bold akirusha Episode, ana tag wote kwa kuweka hiyo ID ya The Bold followers na wote tunaenda moja kwa moja kwenye episode kuliko njia hii ya sasa anayotumia! Niwazo langu la kusaidia tunakuwa karibu na story kwa haraka zaidi.Sawa Mkuu! Tayari nimeongeza jina lako
Mkuu the bold naomna unitagHahahahah! Mbona hakuna jina langu humo..
Hahahahah.! Be careful of what you wish for.. Unaweza kuja kujuta kuwa mwana kamati wa The BoardBasi mie niweke tuu kamati ya ufundi the board
Kimatamshi inafanana nikajua ndio A.K.A yako

Shukrani sana Mkuu..Mkuu The Bold you are creativity is beyond human nature. Umeninasa for sure
Nitapataje simulizi zako zingine???
MarhakhabaaaaaMkuu The Bold shikamooooooo ,ulichotudokezea jana mmmmmh hatari tupu Leo usitusahau
Pos # 480Mkuu nipe post number ya hilo dokezo na Mimi niongeze mshawasha wa kusubiri Episode 3!