Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao wala kutoa hifadhi wa wakimbizi kutoka kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
Hawampendi Magufuli kwa ubabe wake amejikuta mpweke waziri mkuu wa Burundi kamtoa kimasomaso
 
Kiti bado cha moto asije kutoka watu wakapindua meza
Aarh hio noma hopefully mambo ya Corona ndio yamefanya wasije lkn ikiwa ni mambo ya mzee baba hawatembelei na wao wakalipa kisasi then kidiplomasia kuna cha kurekebisha hapo.

Nilitegemea rais wa Burundi aje maana kule kwao mambo ya Corona nao 'yameshaisha'kama bongo ila nilivyoona nae katuma mwakilishi nikaona hii inafikirisha kidogo.
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Kumbe Hamjaelewa kitu,; Keny ni wataalam wa kucheza na Fursa. Kuna tetesi wanazalisha takwimu ili Wavute Mpunga Mrefu Sham on them
 
Ungeelewa na hata Kubobea tu katika Itifaki na Principles zake Kuu wala usingeshangaa kutowaona leo akina Rais Museveni na Rais Kagame Mkuu.

Kuna wakati unaongea vitu vya maana, then kuna wakati unaongea UPOLOTO kama huu. Protokali gani hizo unazojua mwenzetu ambazo sie hatuzijui? It is this simple: hakuna Rais Mwenye akili timamu anayeweza kuzuru Tanzania muda huu. Nyie endeleeni kuficha takwimu za korona makalioni, mtakapotengwa na kila mtu ndio mtagundua kuwa kuficha tatizo kunaweza kuzua tatizo kubwa zaidi ya unaloficha.
 
Back
Top Bottom