My friend Embu tumia logic kidogo siyo kuleta ishu za kutetea mambo ya utaifa hata kwa Jambo lisilo na msingi just kulinda utaifa,mtu au taifa litakuwa defined kuendana na mambo yake,taifa Lolote likiwa na mambo ya hovyo litakuwa defined kihovyohovyo Hivyo hivyo!In 21st century-science is data and data matters in every aspect of life.periodDah aisee, apa umeamua kufikiria kwa kina au umeongea tu, kwa hiyo furaha yako ni kutajiwa idadi ya Wagonjwa? au kupewa taarifa za walipoteza maisha?.
Kaka huu ugonjwa n Pandemic kila Nchi inachukua hatua zake kulingana na hali ya ugonjwa ulivo Nchi husika, au unataka kitangaziwa tu kama fashion, wewe kama wewe zitakusaidia nn labda
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app