Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
Hujui kama kuna ugonjwa wa Corona,unalinganisha vipi kipindi cha maziko ya Moi na sasa, ndio maana mnaambiwa wa darasa la saba,uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Naaam hio ya china vs US nimeiona hizi siku tatu ina trend.

Kwny majukwaa Mengi hu JF SADC imekua ikionekana kama ni ndg zaidi kuliko EAC kutokana na historia zao za ukombozi na mambo mengine, so nilitegemea nchi hizo kutuma ujumbe mzito lkn naona bila bila,kuna mwana hapo juu amesema Mama Samia ndio hua anatumwa kumwakilisha mzee baba kwny kila mikutano iwe ya SADC+others,sasa labda ndio mambo za reciprocity yamekua applied sasa kwa upande wetu.

Busara itabidi zitumike maana hata tukimaindi kwa viongozi kutokuja kwny msiba tutagombana na Africa nzima na kuishia kujitenga tu maana wote hawajaja,angekuwepo Mahiga yule 'knows his onions' ila huyu Kabudi kwny diplomasia sijawahi kumuamini.
Sio kumwamini tu so far ameshaplay part gani yenye tija kwa taifa zaidi ya uongo tu?
 
Ameongea Cheap minds or you are being too cheap in thinking??
Kwahio unataka kusema hao wakuu wa nchi wote waogopa kuja kwa sababu ya corona?? yaani TZ imekuwa kama unaingia kwenye wodi ya yagonjwa wa korona bila barakoa??

Hio kama ndio ssababu yao basi ni upuuzi tu
 
Aarh hio noma hopefully mambo ya Corona ndio yamefanya wasije lkn ikiwa ni mambo ya mzee baba hawatembelei na wao wakalipa kisasi then kidiplomasia kuna cha kurekebisha hapo.

Nilitegemea rais wa Burundi aje maana kule kwao mambo ya Corona nao 'yameshaisha'kama bongo ila nilivyoona nae katuma mwakilishi nikaona hii inafikirisha kidogo.
Rais wa Burundi sikumtegemea kuja kabisa. Rais ni mpya na nchi yake haina uhakika wa ulinzi aende ziara ya kwanza kuzika badala ya kutembeza bakuli kama wanavyofanya viongozi wa Afrika kwenye ziara zao za kwanza ni ajabu.
 
Kwahio unataka kusema hao wakuu wa nchi wote waogopa kuja kwa sababu ya corona?? yaani TZ imekuwa kama unaingia kwenye wodi ya yagonjwa wa korona bila barakoa??

Hio kama ndio ssababu yao basi ni upuuzi tu
Huo ni mtazamo wako ambao umewakilishwa na hisia tu!Mungu katuumbia akili na utashi,na Kwa mazingira ya sasa wanasayansi pamoja na Rais wetu wanakiri ipo na kwamba tuchukue hatua na kuepuka mikusanyiko isiyo na lazima sana!hivyo uwezi kukaa na kuwa mtu wa malaumu Bila msingi,hata wao kutokuja physically pengine ni tahadhari-kushusha bendera za nchi zao ni heshima pia otherwise labda kama Bado tuna mawazo ya ujima Karne hii ya 21."watu huangamia Kwa kukosa maarifa"
 
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao wala kutoa hifadhi wa wakimbizi kutoka kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
They perceive Tz as risky - Covid 19. RIP daddy Mkapa.
 
Meko hana diplomasia ya kimataifa yupo yupo tuu.......

Ndicho tulichosema tangu huyu jamaa anaingia madarakani kwamba tutatengwa kimataifa.......

Amekejeli sn juhudi za kimataifa kuhusu corona katukana mataifa jirani kua watakufa kwa njaa na wakija wauziwe chakula kwa bei ya juu......huu ni ushamba na ulimbukeni na haya ndio matokeo....

Amekuja mkombozi na mzalendo kwa kweli TUNDU LISSU....mtwende nae hapo October 28 arudishe hadhi ya nchi yetu....
 
Back
Top Bottom