Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Mkuu ile Jumatatu Mh. PM aliomba wananchi washiriki siku ya kitaifa kumuaga Marehemu. Na hata kama asingesema kwa mahusiano bado watu wangeenda tu na si watoto wanafunzi na waalikwa na niseme viongozi wa serikali. Jana ndiyo uwanja ulipaswa kufurika mpaka nje kuwe na projector sheet kabisa.Watu wazima wapo busy kutafuta njururu, na nimeshangaa sana Magufuli pamoja na kulia kwake uwanjani na kutusisitizia kwamba mzee mkapa ndiye aliyemfikisha hapo alipo lakini ameshindwa kutenga hata siku mbili tu za mapumziko ili watu wawape wasaa wa kumuaga mpendwa wao.