Viongozi wa vyama vya siasa, Serikali na Bunge acheni unafiki shule zote za Serikali ziwe English medium watoto wenu mbona wanasoma English Medium?

Sasa ww Kama unaakili kwel unajilinganisha na urusi na China wakati Kenya tu hapo wanakuzid, bila Shaka ww hutumii brain utakua unatumia spinal cord kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Shwain Rudi kwenye hoja ya msingi. Issue ilikuwa ni english na exposure huko duniani. Ndio Mana nikauliza what is the role of english wakati Kuna inchi Zina exposure kubwa na English sio kipaumbele. Nimekutajia warusi na wachina Kama mfano tu. Not mentioning france, Germany etc.
Hapo issue ni uvivu wa fikra na vitendo hata mngejua lugha zote duniani. Shwain wewe 🤣😂
 
hii haitewezekana kwa sababu ya walimu wengi wanaofundisha kayumba English ni tatizo kubwa kwao, labda useme wote watimuliwe waajiriwe wengine nchi nzima wataofit na mfumo wa english media

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Serikali ilipoamua kuhama toka English.medium kuja swahili.medium walimu walitimuliwa wote? Na iliwezekanaje wakati vitabu vyote vya kufundishia vilikuwa English na vyuo vya walimu vilikuwa English?

Kwa Nini isiwezekane Sasa kubadili kutoka Swahili medium kuwa English medium wakati walimu wote wa diploma wa shule za msingi husoma diploma zao na digrii za elimu ya ualimu wa shule ya msingi kwa kiingereza?

Mbona shule za English medium walimu wanaofundisha Ni watanzania hao hao waliosoma vyuo hivi hivi vya ualimu vya Tanzania? Hazifundishwi na watu wa nje mbona?
 
Kwa namna viongozi wetu walivyo wabinafsi hili litakuwa ndoto kulitekeleza. Hata hivyo, ili elimu yetu angalau ibadilike kuna mambo yapaswa yafanyike. Baadhi ya mambo yakufanya ni:
1. Kuboresha mitaala yetu ili iweze kuwasaidia wanafunzi wanaomaliza katika ngazi mbalimbali waweze kujitegemea. Sio lazima wanafunzi wanaomaliza ngazi moja ya elimu waendelee na ngazi ya juu ya hapo walipomalizia. Kuwe na elimu kama za vocational skills na ujasiriamali.
2. Kuwe na maboresho kwenye maslahi ya watumishi wa idara ya elimu. Walimu wanapoona viongozi wanalipana maposho manono manono na mishahara mizuri huku wao wakiambiwa wafunge mikanda tujenge hiki na kukarabati kile, tusitegemee output nzuri kutoka kwa hawa watu. Mshahara wa mwalimu mwenye shahada kwa mfano ni karibia nusu ya anayopokea askari (mshahara+posho). Vitu hivi huwavunja myoyo watumisha wa idara ya elimu. Kingine hapa ni kuwa, mwalimu akijiendeleza zaidi ya shahada ya kwanza, shahada yake hiyo haitambuliki. Mtu huyu anajiendeleza ili awe bora zaidi, ila hatapata maslahi yanayoendana na ubora wake.
3. Kingine ni kuwa inabidi watoto/wanafunzi wapate chakula shuleni (uji asubuhi + chakula cha mchana). Hivi vitaongeza utulivu na usikivu wa watoto shuleni na kuepusha utoro ambao mwingi huchangiwa na njaa. Kama mtu hajala hawezi kuwa na uskivu na hivyo ni kazi bure kwa mwalimu kukomaa na mavipindi huko shuleni. Suala la chakula lapaswa kuwa mandatory kwa kila shule.
4. Rasilimali zingine kama za kiteknolojia zapaswa kuwa sehemu ya usomaji na ufundishaji ili kurahisisha uelewa wa wanafunzi.
NB: Ikiwa tutalazimisha (japo ni ngumu) viongozi wetu kupeleka watoto wao shule za St. Kayumba, watachagua shule chache na kuziboresha na huko ndipo watapeleka watoto wao. Mara nyingi nafsi zao ndio za kwanza then wengine ndio mtajijua. Kingine ni kuwa kwangu lugha sio big deal, big deal kwangu ni ubora wa kinachotolewa (elimu).
HAPPY NEW YEAR, 2020.
 
Wewe Shwain Rudi kwenye hoja ya msingi. Issue ilikuwa ni english na exposure huko duniani. Ndio Mana nikauliza what is the role of english wakati Kuna inchi Zina exposure kubwa na English sio kipaumbele. Nimekutajia warusi na wachina Kama mfano tu. Not mentioning france, Germany etc.
Hapo issue ni uvivu wa fikra na vitendo hata mngejua lugha zote duniani. Shwain wewe
Sawa mm ni mvivu Wa kufikiri , tupe Sabab zenye mashiko za wachina na warusi kuendelea, ili tuendelee kukipa promo kiswahili
Shwain square

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mm ni mvivu Wa kufikiri , tupe Sabab zenye mashiko za wachina na warusi kuendelea, ili tuendelee kukipa promo kiswahili
Shwain square

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaa now u are talking. Mkuu ni hivi hizi nchi zilisimamia mambo makuu matatu. 1. Nidhamu ya kazi na muda. 2. Ruhwa na uhujumu uchumi- mtu aliwajibishwa bila kuangalia cheo chake Tena kwa adhabu kali ikiwemo kifo. 3. Kutekeleza kikamilifu sera na malengo ya nchi waliyojiwekea ikibidi hata kutumia nguvu na udikteta na yeyote aliyeonekana kikwazo alipotezwa.

Na hii ndiyo tabia ya nchi yoyote unayoiita tajiri wewe Leo hii. Sasa nyie jifanyenyi kuhubiri demokrasia ambayo waasisi wake wagiriki mpka Leo haijawasaidia kiuchumi. Shwain
 
Kwa namna viongozi wetu walivyo wabinafsi hili litakuwa ndoto kulitekeleza. Hata hivyo, ili elimu yetu angalau ibadilike kuna mambo yapaswa yafanyike. Baadhi ya mambo yakufanya ni:
1. Kuboresha mitaala yetu ili iweze kuwasaidia wanafunzi wanaomaliza katika ngazi mbalimbali waweze kujitegemea. Sio lazima wanafunzi wanaomaliza ngazi moja ya elimu waendelee na ngazi ya juu ya hapo walipomalizia. Kuwe na elimu kama za vocational skills na ujasiriamali.
2. Kuwe na maboresho kwenye maslahi ya watumishi wa idara ya elimu. Walimu wanapoona viongozi wanalipana maposho manono manono na mishahara mizuri huku wao wakiambiwa wafunge mikanda tujenge hiki na kukarabati kile, tusitegemee output nzuri kutoka kwa hawa watu. Mshahara wa mwalimu mwenye shahada kwa mfano ni karibia nusu ya anayopokea askari (mshahara+posho). Vitu hivi huwavunja myoyo watumisha wa idara ya elimu. Kingine hapa ni kuwa, mwalimu akijiendeleza zaidi ya shahada ya kwanza, shahada yake hiyo haitambuliki. Mtu huyu anajiendeleza ili awe bora zaidi, ila hatapata maslahi yanayoendana na ubora wake.
3. Kingine ni kuwa inabidi watoto/wanafunzi wapate chakula shuleni (uji asubuhi + chakula cha mchana). Hivi vitaongeza utulivu na usikivu wa watoto shuleni na kuepusha utoro ambao mwingi huchangiwa na njaa. Kama mtu hajala hawezi kuwa na uskivu na hivyo ni kazi bure kwa mwalimu kukomaa na mavipindi huko shuleni. Suala la chakula lapaswa kuwa mandatory kwa kila shule.
4. Rasilimali zingine kama za kiteknolojia zapaswa kuwa sehemu ya usomaji na ufundishaji ili kurahisisha uelewa wa wanafunzi.
NB: Ikiwa tutalazimisha (japo ni ngumu) viongozi wetu kupeleka watoto wao shule za St. Kayumba, watachagua shule chache na kuziboresha na huko ndipo watapeleka watoto wao. Mara nyingi nafsi zao ndio za kwanza then wengine ndio mtajijua. Kingine ni kuwa kwangu lugha sio big deal, big deal kwangu ni ubora wa kinachotolewa (elimu).
HAPPY NEW YEAR, 2020.
Umeandika points tupu. Happy new year mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa now u are talking. Mkuu ni hivi hizi nchi zilisimamia mambo makuu matatu. 1. Nidhamu ya kazi na muda. 2. Ruhwa na uhujumu uchumi- mtu aliwajibishwa bila kuangalia cheo chake Tena kwa adhabu kali ikiwemo kifo. 3. Kutekeleza kikamilifu sera na malengo ya nchi waliyojiwekea ikibidi hata kutumia nguvu na udikteta na yeyote aliyeonekana kikwazo alipotezwa.

Na hii ndiyo tabia ya nchi yoyote unayoiita tajiri wewe Leo hii. Sasa nyie jifanyenyi kuhubiri demokrasia ambayo waasisi wake wagiriki mpka Leo haijawasaidia kiuchumi. Shwain
Pia naona na ww umetoka Nje ya mada hakuna alieongelea demokrasia , pia sizani Kama hayo yatakua sawa Kama wananchi hawana elim bora ,
Kubali kwamba elimu yetu ni tatizo Nchi haiwezi kua na maendeleo Kama haitengenezi wataalam wanaoweza kuvumbua mifumo tofauti ili kuendana na mabadiliko ya kiulimwengu,
Tuache kujidanganya mkuu vitu vingi ambavyo wenzetu wamevivumbua vipo kwenye lugha ya kingereza sasa nasi ili watu wako waweze kufaham na kutoa changamoto ya mifumo inayovmbuliwa lazima wafaham vizur lugha iliyotumika katika mifumo hiyo bongo lugha bado no tatizo mkuu,

Sasa unakuta viongozi wote Wa serekalini hakuna hata mmoja ambae mtoto wake anasoma kwenye shule ambazo zinatumia kiswahili kufundisha sasa kwa akili ya kawaida kipi bora hapo
Shwain

Kwani hao watoto wa viongozi au wote wanaosoma English medium schools wamevumbua Nini zaidi ya kuwa na connection tu za baba zao?

Umeongea ishu moja ya maana Sana Sana..... Mfumo wa elimu mbovu.... Na hapa ndipo tatizo lilipo. Ila sio lugha. Mfumo wa elimu huu tulionao hata ufundishwe kwa lugha ya malaika na mashetani hautufikishi popote.

Ukiongelea exposure Leo hii hats anayejua kuchina anapata exposure tuu ila collectively we need mfumo wa elimu Bora zaidi. Sorry sikuiti Tena shwain
 
Walimu wanajua hicho kiingeleza? Walifundishwa kufundisha kiingeleza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesomea ualimu kwa kiingereza waliposoma diploma na digrii zao za ualimu vitabu vya syllabus vya shule za msingi vya kiingereza vipo na Baraza la mitihani hutunga mitihani ya kumaliza darasa la Saba kwa kiingereza ..Ni kuwa switch toka Swahili medium na kuwapeleka English medium.

Kila kitu kipo kuanzia syllabus ,vitabu vya mwanafunzi na mwalimu kutumia vilivyo kwa lugha ya kiingereza vipo na ndio English medium hutumia.Syllabus ya wizara ya elimu ya primary schools ya English medium ipo wala sio ya kusema ni ya kukaa na kuandika ipo

Walimu hao hao waliosoma vyuo vyetu ndio hao hao wanaofundisha English Medium schools
 
Umeghaili kuunga mkono juhudi?
Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.

Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.

Wanafiki wakubwa nyie msio na haya

Hizi ndizo salamu zangu kwenu za mwaka mpya

Huo ni mpango mahsusi wa watawala kutengeneza madaraja(classes), wale wachovu kizazi chao kisome shule za kichovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ishu moja ya maana Sana Sana..... Mfumo wa elimu mbovu.... Na hapa ndipo tatizo lilipo. Ila sio lugha. Mfumo wa elimu huu tulionao hata ufundishwe kwa lugha ya malaika na mashetani hautufikishi popote.
Sio kweli
Syllabus za English medium na Swahili medium Ni moja .Na wote wanafanya mtihani mmoja wa kumaliza darasa la Saba kwa masomo yote.

Mbona wa English medium hufaulu Sana na kutika mbali na huwa wako vizuri kuliko Swahili medium .Wakati masomo yote Ni Yale Yale.

Kwa Nini Kuna mdororo Swahili medium schools unaofanya viongozi wa kisiasa,bunge na Serikali wakimbizie watoto wao English Medium Kama lugha haina maana?
 
Back
Top Bottom