Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

Wabunge wetu wote ni magraduate?Na wote wanajua Kiingereza?Na Kiarabu ni lugha rasmi bungeni?

Na je kujua Kiingereza ni kuelimika?

still haiondoi ukweli kuwa katika kunia ya leo huwezi kuwa na kiongozi wa kidini ambaye elimu yake ni ndogo
 
Hawa ndio wale maaskofu waliosema Kikwete ni Chaguo la Mungu ?
 
Guys tusiende nje ya hoja. Hii vita ya kidini hapa sio sehemu yake. Na wala usiombe ukutane na vita kama hii. Utajuta kuzaliwa katika dini.

Hoja hapa ni waraka wa maaskofu kwenda kwa JK. Mimi sijafurahishwa tu na the way mwandishi wa habari hiyo alivyopresent hiyo habari. Ameandika kama amesikia story kwenye vijiwe vya kahawa. Kila kitu inaonekana kama amesikia tu na hana uhakika. Hii inaboa kidogo na kupunguza credibility ya habari yenyewe. Looks like one those fabricated stories. No wonder watu wanaacha kuchangia hoja na kukimbilia kubishania kiongozi gani wa dini kasoma zaidi.
 
Sasa kwani kiingereza ndo kitu gani!. nitajie nabii mmoja aliyekuwa anajua Kiingereza. masiha mwenyewe aliishi wakati wa dola kuu la kirumi lakini alikuwa haongei kirumi,

kuhusu kiarabu, nani kakuambia kuwa nguzo kuu mojawapo ya kuelimika katika uislamu ni kujua kiarabu!!?.

GT inaelekea unahusudu sana vyeti, let me tell you this vyeti ni makaratasi, yakiungua haimaanishi huna elimu, na hivyo hiyo unaweza usiwe na haya makaratasi lakini ukawa na elimu,shule ina maana pana sana ndugu yangu kuliko unavyofikiri. vyeti ni formalities tu, ka utaratibu tulikojiwekea wanadamu, kama unakataa hebu niambie katika maisha yako ya darasani umepata kusoma mambo mangapi na kwa hivi sasa unakumbuka mangapi?, hapo ulipo ukipewa mtihani uleule uliofanya form six utaweza kufaulu kwa kiwango kile kile?,kama sivyo kwa nini basi kuelimika kwako au kwa mtu mwingine kusipimwe kwa factor nyinginezo zaidi ya static education ambayo kilele chake ni vyeti?.


Hebu niambie shee mkuu wa BAKWATA unaweza kumlinganisha na Thanthawi au Qardawi?

hivi unaweza ku argue kuwa shee mkuu wa Tanzania ni among the most respected religious scholars in East Africa?

Al Marhum Sheikh Hemed bin Jumaa bin Hemed japo naye alikuwa BAKWATA lakini yule mzee alikuwa amebobea kwenye elimu ya dini na hata waliokuwa wakiipinga BAKWATA walikuwa wanakubali kuwa anayo nafasi ya kutoa religious edicts lakini huyu wa sasa ni bogus kabisa. Hivi lini mara ya mwisho umewasikia BAKWATA wakipinga UFISADI?

Say what ever you say lakini hawa viongozi wa kidini wa WAKIKRISTO huwa hawaogopi kukemea serikali wakati BAKWATA are more than happy kuwa ma bedfellows na CCM
 
Guys tusiende nje ya hoja. Hii vita ya kidini hapa sio sehemu yake. Na wala usiombe ukutane na vita kama hii. Utajuta kuzaliwa katika dini.

Hoja hapa ni waraka wa maaskofu kwenda kwa JK. Mimi sijafurahishwa tu na the way mwandishi wa habari hiyo alivyopresent hiyo habari. Ameandika kama amesikia story kwenye vijiwe vya kahawa. Kila kitu inaonekana kama amesikia tu na hana uhakika. Hii inaboa kidogo na kupunguza credibility ya habari yenyewe. Looks like one those fabricated stories. No wonder watu wanaacha kuchangia hoja na kukimbilia kubishania kiongozi gani wa dini kasoma zaidi.

Ndugu yangu, hapa nchini siku hizi tuna aina nyingi za "Maaskofu"!
Labda tu tujikite kwenye hoja yao kama ina mantiki. Walikuwa wapi wakati Mkapa anabadili uongozi wa Nchi yetu kuwa KITEGAUCHUMI chake na baadhi ya MAFISADI wenzake?
 
GAME THEORY vipi tena?

Kutokujuwa kiingereza au kuwa na elimu ndogo ya kidunia sio utukane wenzio. Ni mtume gani alikuwa anaongea kiingereza au alikuwa na elimu ya juu?

Ifikapo wakati basi utaiona BAKWATA ikinguruma.
 
Mada ni waraka wa maaskofu kwenda kwa JK,
Hili la Bakwata lisitupotezee mada maana hawapo ktk waraka huu Hatujiu labda nao watajiandaa baada ya kuona maaskofu wamenzisha njia.
Napongeza maaskofu kuanza kusema kuhusu serikali inayowatawala,Tunataka mchango wao uonekane kama akina DESMOND TUTU,DALAI LAMA,PIUS NCUBE N.K
 
GAME THEORY vipi tena?

Kutokujuwa kiingereza au kuwa na elimu ndogo ya kidunia sio utukane wenzio. Ni mtume gani alikuwa anaongea kiingereza au alikuwa na elimu ya juu?

Ifikapo wakati basi utaiona BAKWATA ikinguruma.

kujua kiingereza wenyewe wanasema ndio elimu dunia...na kwa kutokana na cnhi yetu elimu ya juu inafundishwa wa kiingereza...hivyo sisemu kujua kiingereza ni kuelimika lakini Sheee Mkuu kama hajui kiingereza na baadhi ya edicts za kidini zimeandikwa kwa kiingereza atawaambia nini wamini wanaomfuata kule BAKWATA?

Kujua kiarabu ni muhimu sana kwa mtu ambaye ni kiongozi wa jumuiya ya kidini kama BAKWATA mfano akitaka kuwasiliana na Thanthawi kule Azhar atatumia lugha gani? Kiswahili?


hivyo narudia kujua kiingereza si kigezo cha mtu kutokuwa na elimu lakini kama shee mkuu elimu yake ndogo then ni vigumu kumsikiliza lolote atakalo lisema kwani at most it will equal to nothing as it will have little or no substance at all & of recent maneno mengi ya Shikh mkuu seems to revolve around some pompous egotistical chain smoker old bloke shooting his mouth off at every opportunity..sasa hivi nakisia sigara zishaanza kumdhuru


Mada ni waraka wa maaskofu kwenda kwa JK,
Hili la Bakwata lisitupotezee mada maana hawapo ktk waraka huu Hatujiu labda nao watajiandaa baada ya kuona maaskofu wamenzisha njia.
Napongeza maaskofu kuanza kusema kuhusu serikali inayowatawala,Tunataka mchango wao uonekane kama akina DESMOND TUTU,DALAI LAMA,PIUS NCUBE N.K
Maaskofu ni viongozi wa kidini na waraka huu wa WAKRISTO unatufanya tuulize mbona kiongozi wa jumuiya iliyoundwa na serikali kuwawakisha waislam Tanzania (BAKWATA),iko kimya, hivyo tunaweza kuconclue kuwa MAASKOFU are doing a better job japo its too late lakini hii inatokana na elimu yao ya theory bila kusahau elimu ya dunia

hakuna ubaya kulisema hilo no matter how much wengine wanavyo wachukia
 
Waraka huo wa maaskofu ulichapwa wote jana kwenye gazeti la majira la tarehe ya jana ukurasa wa saba ama nane kwa hiyo muandishi hajasikia ila ni ukweli waraka upo na ulichapwa kama tangazo kwenye gazeti hilo.

Hapa huu ni mwamko mpya wa kisiasa umeanza kuenea ila najua kuna kazi kubwa ilifanyika hadi hawa wakaamua kutoka.

Kwa wale mlioweza kuiona ripoti yao juu ya madini mtajua nini nazungumza kwani hawakutafuna maneno hata kidogo juu ya wizi wa madini.

Hawa viongozi ilifanyika juhudi kuhakikisha kuwa wanaujua ukweli juu ya ufisadi na mafisadi na madhara yake kwa waumini wao.

Kwa sasa naweza kuitetea BAKWATA kwani mkuu wao ni mgonjwa na nafikiri kwenye mambo makubwa kama haya yanahitaji wakubaliane wote.

JK atakuwa na wakati mgumu sana kipindi hiki kwani hata wale waliosema kuwa ni chaguo la Mungu wameamua kumwambia mfalme kuwa uko uchi......
 
Kwa sasa naweza kuitetea BAKWATA kwani mkuu wao ni mgonjwa na nafikiri kwenye mambo makubwa kama haya yanahitaji wakubaliane wote.

.
BAKWATA ni chombo na kiongozi wake elimu yake ni ndogo

vile vile usisahau kama ni jumuiya watakuwa wanayo constitution ambayo ineleza wazi kuwa atakuwa na makamu etc

sasa huyu shee mkuu kama akifa inamaana shughuli za BAKWATA nazo zinasimama?

lets face it BAKWATA kama serikali na maswahiba wao kule CCM ni incompetent to the max na huhitaji kuwa na Diploma ya Mzumbe kujua hilo
 
Ile dhana ya kutenga mambo ya imani mbali saaana na serikali madhara yake ni kama haya ya kuwa na serikali yenye mafisadi matupu. Sisemi kuwa iwe serikali ya kidini lakini kuwe na close monitoring ya imani ya viongozi tunaowachagua. Leo hii Wamarekani wanao uwezo wa kuchunguza mgombea wao kwamba huwa anaabudu kanisa lipi na mchungaji au padri wake yuko vipi. Je huyo mchungaji au padri mafundisho yake yanafaa au la asije akawa huyo mgombea amelishwa mafundisho yasiyofaa kwa kuongoza taifa lao

Viongozi wetu wachunguzwe kabla ya kupewa dhamana na hata viongozi wao wa imani(maaskofu au mashehe) na hata hadi ktk jamii wanazoishi je wanatabia gani? rafiki zake wakoje? ndugu wanatabia zipi? mpaka hata watoto wake kama anao. Haya mambo huwa yanashabihiana kwa ukaribu mno na kwa kiasi kikubwa mno yana effect kwa mgombea. Vigezo vya kiongozi visiishie tu ktk kuwa na kadi ya chama husika, maneno matamu, elimu au uzoefu.

Viongozi wa kiimani na wawe wa kwanza kusema juu ya madhambi yanapojitokeza kwa viongozi maana wakikaa kimya ni sawa na kukubaliana na hali hiyo ambayo kimsingi ni dhambi.
 
The bishops have a strong and valid message but in jockeying for position so openly they are misguided and may expose unwarranted ambition.This will sadly have the effect of diluting if not distorting their otherwise strong message.

The hairy issue of separation of Church and state does not mean that the bishops should be indifferent and keep mum, they should speak as they did.

But just as separation of church and state does not mean the bishops should stay mum, it also does not mean they should roll into parliament.As Mama pointed out, if everybody in the religious circles will want similar representation you will pretty much have half of parliament coming from the religious bodies.I do not like that idea.

The church should stay above the muddy political waters to maintain its moral authority.The church has a responsibility to comment about social issues in a non political way.If you take away the request for parliamentaly representation, this qualifies as a genuine non political scolding of the government by the church.
 
Maaskofu hatimaye wamegundua kuwa chaguo la Mungu walilodhania kumbe si chaguo la Mungu bali chaguo la mafisadi!!! Sasa wawafukuze mafisadi wote makanisani kama wanataka kufanya kweli na Watanzania tutawaunga mkono kwa hali na mali.
 
Wakati huo huo BAKWATA wako kimyaaaaaaaaaa, lakini we should expect much from them kwani BAKWATA inaongozwa na mtu ambaye hajui kiingereza...na elimu yake ni ndogo sana

big up to maaaskofu kuhusu hili

Kuna taarifa nilizonazo ambazo zinadai kuwa tayari kuna makubaliano ya pamoja kati ya maaskofu hao na viongozi wengine waislam na masheick wakubwa wenye ushawishi mkubwa miongoni mwa jamii za wenzetu waislam.

Kwa hiyo ni wazi kuwa ufisadi ni vita visivyoangalia dini wala ukabila.

Nadhani hao watu wenye kuwasapoti mafisadi ni wachache sana na sidhani kama wataweza kupambana na umma uliochoshwa na ufisadi tayari.

Saddam Hussein mwenyewe alibakiza sapoti za huko kijijini kwake Tikrit lakini hiyo haikutosha kumkwepesha na kuletwa kunako sheria.

Nilianzisha thread yenye kusema mafisadi wakamatwe ili wasiweze kuligawa taifa.
 
Back
Top Bottom