Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
JK ni MWISLAMU; JK ni RAIS wetu. Anawezaje kuyatenganisha hayo?
Ndio maana nikamuuliza lengo la mada hii ni nini?? na je kwa wasioamini hizi dini??
Kama hakuna lengo ni kupiga soga then haina maana.
ni sawa na kusema unatumia mdomo kula chakula! then so what!!!
au jua linachomoza asubuhi linazama jioni!
Lazima atakuwa na lengo, au kuna habari ameipata au kuna 'swala' haiwezekai from no where ukaanza kusema unajua mwanadamu anavuta oxygen!
vipi nchi kama za aina ya china wasiokuwa na dini yoyote? wakati ujamaa wetu na dini tulizokuwa nazo tuliwaiga wao! we have a lot to discuss if we know the destiny and intention of thread starter!
Nilianza kuleta msuguano kidogo labda tuone ni kwa jinsi gani dini zinaathiri siasa au siasa zinaathiri dini, au ni kwa jinsi gani hivi vitu viwili tunaweza tukavitumia kwa manufaa au,....au.....au.....nyiiiingi kwani sijajua lengo ni nini! mtoa maada kakaa kimya!
Last edited: