Charles Misango Kiongozi
Kanisa Katoliki nchini limependekeza kufanyika kwa mabadiliko ya Katiba ya Nchi, ikiwa ni pamoja na kuruhusu kuwepo kwa wagombea binafsi katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwakani.
Mbali na kuruhusu wagombea binafsi katika nafazi zote za uongozi wa kisiasa isipokuwa nafasi ya urais, Kanisa Katoliki pia limependekeza kuundwa kwa Baraza la la Mapitio ya Kikatiba ili kupitia upya Katika kulingana na mahitaji halisi ya Watanzania kulingana na wakati uliopo.
Mapendekzo hayo na mengine yamo katika Ilani iliyotolewa na Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania hivi karibuni na kusainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mhashamu Paulo Ruzoka.
Tume hiyo imesema kuwa kwa vile Katiba ni kitu muhimu katika jamii, na zai ya hati ya kisheria, ni haki kwa wananchi kushirikishwa kuijadili na hata kuifanyia marekebeisho, badala ya kuachia kundi moja kushinikiza au upande ama chama chenye maslahi ya kijamii, kiuchumi ama kidini kuchochea mabadiliko.
Katiba inamilikiwa na watu na ni ya watu katika anuawi diversity) na katika upokeaji wa watu wenye tofauti mbalimbali (plularity) imesema sehemu ya Ilani hiyo. Aidha, Kanisa hilo limeongeza kuwa kwa vile taifa ni kitu kinachoishi ni jambo la kiasili na la muhimu hivyo ni sharti kuruhusu mapitio ya vipindi kwa vipindi ili kuwapatia watu fursa ya kutoa maoni yao.
Limesema tangu Tume ya Nyalali itoe ripoti yake mwaka 1991, ombi la marekebi9sho ya Katiba halijapokelewa kwa namna na kiwango cha kuridhisha.
Kanisa limesema hakuna chama cha siasa wala Serikali ya wakati huu wanaoweza kihalali kutumia Katiba kwa faida zao za kisiasa kwa sababu Katiba ni dira ya kimaadili na maelezo ya kifalsafa ya tunu na kanuni watu wanazotaka kuzizingatia katika maisha yao ili kuwahakikishia amani, haki, na vile vile kuheshimiana na kuvumiliana katika kuwa na maoni tofauti.
Limesema kuwa katika mchakato wa kurekebisha Katiba lazima kuwe na tamko dhahiri juu ya tunu za msingi za maadili ya kitaifa ambay yapasa yazingatiwe, ikiwa ni pamoja na kutamka haki za watoto ambao hawajazaliwa.
Kanisa limesema kwamba lazima tunu za kimaadili ziwe ndiyo msingi wa taifa letu, na lazima yahifadhiwe ndani ya Katiba ili kuongoza kanuni na taratibu zote za uendeshaji na utendaji. Lengo na sababu za mahusiano yote katika jamiini kumpa kila mtu hadhi ya kiutu ambayo ni stahili yake. Maana yake ni kwamba, kila apatiwe mahijai msingi ya kumwezesha kuishi maisha yanayomstahili mwanadamu. Watu wote wamumbwa na Mungu katika usawa, kwa hiyo kila mtu ni sawa na mwingine imesema sehemu ya ilani hiyo.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Mhashamu Paulo Ruzoka, amesema wameamua kutoa Ilani hiyo yenye mapendekezo mengi, ikiwa ni sehemu ya haki ya Kanisa na uzalendo walionao kwa taifa.
Katika uchaguzi, hatupigi kura tu, tunapaswa kueleza makusudio yetu kwa yale tunayofikiri kuwa muhimu sana kwa Taifa. Amesema Mha. Ruzoka.
Kauli ya Kanisa inalingana na kauli na matamshi mengi yaliyokwisha kutolewa na makundi ya Watanzania, wakwemo wanasiasa, wanasheria, taasisi zisio za kiserikali juu ya kufanyika kwa marekebisho ya Kikatiba ili kuendana na hali halisi ya kisiasa nchini.
Aidha katika suala la kuwa na wagombea binafsi, vyombo vya sheria viliisharuhusu kuwepo kwa wagombea binafsi, hatua ambayo hata imekuwa ikipingwa na serikali kwa muda mrefu.
Hao maaskofu nao hawana tofauti na akina POnda.Hivi sasa Pesa Za Mengi Na Rostam zinagonganisha wananchi just kwa hao kutaka umaarufu je kama watataka kugombea Urais si itakuwa kasheshe.Mimi nadhani mfumo huu utafaa hadi hapo katiba itakapo badilishwa na kuwa na utaratibu mzuri wa kumuondoa Rais kama ataharibu kwa kutumia vikao haitakuwa na vizingiti.vinginevyo tutajuta miaka matano mingi kwa fisadi kuifilisi nchi
Charles Misango Kiongozi
Kanisa Katoliki nchini limependekeza kufanyika kwa mabadiliko ya Katiba ya Nchi, ikiwa ni pamoja na kuruhusu kuwepo kwa wagombea binafsi katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwakani.
Mbali na kuruhusu wagombea binafsi katika nafazi zote za uongozi wa kisiasa isipokuwa nafasi ya urais, Kanisa Katoliki pia limependekeza kuundwa kwa Baraza la la Mapitio ya Kikatiba ili kupitia upya Katika kulingana na mahitaji halisi ya Watanzania kulingana na wakati uliopo.
Mapendekzo hayo na mengine yamo katika Ilani iliyotolewa na Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania hivi karibuni na kusainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mhashamu Paulo Ruzoka.
Tume hiyo imesema kuwa kwa vile Katiba ni kitu muhimu katika jamii, na zai ya hati ya kisheria, ni haki kwa wananchi kushirikishwa kuijadili na hata kuifanyia marekebeisho, badala ya kuachia kundi moja kushinikiza au upande ama chama chenye maslahi ya kijamii, kiuchumi ama kidini kuchochea mabadiliko.
Katiba inamilikiwa na watu na ni ya watu katika anuawi diversity) na katika upokeaji wa watu wenye tofauti mbalimbali (plularity) imesema sehemu ya Ilani hiyo. Aidha, Kanisa hilo limeongeza kuwa kwa vile taifa ni kitu kinachoishi ni jambo la kiasili na la muhimu hivyo ni sharti kuruhusu mapitio ya vipindi kwa vipindi ili kuwapatia watu fursa ya kutoa maoni yao.
Limesema tangu Tume ya Nyalali itoe ripoti yake mwaka 1991, ombi la marekebi9sho ya Katiba halijapokelewa kwa namna na kiwango cha kuridhisha.
Kanisa limesema hakuna chama cha siasa wala Serikali ya wakati huu wanaoweza kihalali kutumia Katiba kwa faida zao za kisiasa kwa sababu Katiba ni dira ya kimaadili na maelezo ya kifalsafa ya tunu na kanuni watu wanazotaka kuzizingatia katika maisha yao ili kuwahakikishia amani, haki, na vile vile kuheshimiana na kuvumiliana katika kuwa na maoni tofauti.
Limesema kuwa katika mchakato wa kurekebisha Katiba lazima kuwe na tamko dhahiri juu ya tunu za msingi za maadili ya kitaifa ambay yapasa yazingatiwe, ikiwa ni pamoja na kutamka haki za watoto ambao hawajazaliwa.
Kanisa limesema kwamba lazima tunu za kimaadili ziwe ndiyo msingi wa taifa letu, na lazima yahifadhiwe ndani ya Katiba ili kuongoza kanuni na taratibu zote za uendeshaji na utendaji. Lengo na sababu za mahusiano yote katika jamiini kumpa kila mtu hadhi ya kiutu ambayo ni stahili yake. Maana yake ni kwamba, kila apatiwe mahijai msingi ya kumwezesha kuishi maisha yanayomstahili mwanadamu. Watu wote wamumbwa na Mungu katika usawa, kwa hiyo kila mtu ni sawa na mwingine imesema sehemu ya ilani hiyo.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Mhashamu Paulo Ruzoka, amesema wameamua kutoa Ilani hiyo yenye mapendekezo mengi, ikiwa ni sehemu ya haki ya Kanisa na uzalendo walionao kwa taifa.
Katika uchaguzi, hatupigi kura tu, tunapaswa kueleza makusudio yetu kwa yale tunayofikiri kuwa muhimu sana kwa Taifa. Amesema Mha. Ruzoka.
Kauli ya Kanisa inalingana na kauli na matamshi mengi yaliyokwisha kutolewa na makundi ya Watanzania, wakwemo wanasiasa, wanasheria, taasisi zisio za kiserikali juu ya kufanyika kwa marekebisho ya Kikatiba ili kuendana na hali halisi ya kisiasa nchini.
Aidha katika suala la kuwa na wagombea binafsi, vyombo vya sheria viliisharuhusu kuwepo kwa wagombea binafsi, hatua ambayo hata imekuwa ikipingwa na serikali kwa muda mrefu.
- Wanafiki hawa, si ndio walituambia kwamba Muungwana ni nabii chaguo la Mungu, au?
FMES!

Mkuu nafikiri waliosema hivyo ni maaskofu wa kanisa la Lutheran [ nipo tayari kurekebishwa ], hawa wa sasa ni RC.
Hata hivyo at least wameongea jambo la maana, na itakuwa na maana zaidi kama watausambaza waraka huu katika parokia zote na vigango vyake.
- Wanafiki hawa, si ndio walituambia kwamba Muungwana ni nabii chaguo la Mungu, au?
FMES!
lakini unajua kila mtu amepigwa na butwaa jinsi JK alivyoshindwa ku-perform kinyume cha matarajio
Whaaaaat!?!?!?!? Kashindwa ku-perform kinyume na matarajio? Hayo matarajio yalitokana na nini au yalitokea wapi?
Huyu jamaa hajawahi kufanya lolote la maana au extraordinary. Sasa sielewi watu wenye akili zao timamu walikuwa wanatarajia kitu gani au mambo gani kutoka kwake.
Mnayoyaona sasa ndiyo niliyokuwa nayatarajia mimi hadi kufikia kugombana na watu kipindi kile cha uchaguzi. This guy is a zero!
Yaani, unataka kama kitu kikisemwa hakiwezi kuwa 'revised'? Mara ngapi tunaamini kitu fulani ni sahihi lakini baada ya muda tunabadili mtazamo? Kwa hiyo, wewe unataka kama walisema hivyo na kwa vile wale waliosemwa 'no longer match the theory' hivyo waendelee kukariri?
Kama ni hivyo, hata hiyo katiba na 'policy reforms' tunazofanya hazina maana kwani nazo zilikuwa 'the best' wakati zinatungwa.
Naamini kabisa hata yeye mwenyewe Kikwete anashangaa kwa nini watu walijenga matumaini makubwa chini ya uongozi wake!!?? Pia, kwa nini watu wanamlaumu sasa wakati uwezo wake haukuwapo tangu awali na hakuna ushahidi wowote kwamba aliwahi kuonyesha uwezo mkubwa wa kupambanua mambo akiwa shuleni au mahali fulani kazini au hata huko jeshini.
Akili ni nywele kila mtu ana zake. Lakini nina hofu watu wengine hawana nywele wana manyoya yafananayo na nywele vichwani mwao. Watu hawa naamini kabisa kwa vile kwa nje wanaonekana wana nywele kwa hiyo wana akili lakini ukweli ni kwamba hawana nywele juu ya vichwa vyao bali manyoya lainikama ya PusiCat na kwa hiyo hawana akili kabisa.
Inawezekana kabisa MH Kikwete ni Mmoja wa watu hao.