Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

Mfumwa said:
Sidhani kama kuna watu hukulupuka. Kama kuna kundi fulani likidai jambo fulani likapata, basi lingine nalo likadai linatakiwa kupata sababu kama kundi la kwanza limepata kwa mujibu wa sheria za nchi kwa nini hawa wengine waonekane ni kukulupuka?. Nadhani muhimu ni kuweka fursa sawa kwa kila kundi, kama utaweka watu fulani ni bora kuliko wenginehiyo ni sawa na meza mraba yene miguu mitatu.

Mfumwa,

..mara nyingine haya makundi yana-behave kama watoto wadogo.

..kama kundi moja limepewa haki fulani, kundi la pili halitakuwa limekosea kudai haki hiyohiyo.

..tatizo linakuja pale hili kundi la pili linapopinga tuu wenzao kupata haki fulani, badala ya wao kuomba wapatiwe haki hizo hizo. hii hulka ya "bora sote tukose" haipendezi hata kidogo.

..ukurupukaji unaonekana pale kundi moja linapokuwa limejikita zaidi ktk nafasi ya kuwa kundi lalamishi siku zote. yaani halidai haki zake mpake pale kundi lingine linapodai na kupewa haki fulani.

..wa-Tanzani wote wana fursa sawa na haki sawa kikatiba na mbele ya serikali yao tukufu. tatizo ni kwamba kuna tofauti ya uelewa wa haki za kikatiba baina ya makundi mbalimbali. kuna makundi yana uelewa mkubwa zaidi wa haki zao na jinsi ya kuzifuatilia haki hizo kuliko makundi mengine.
 
haya jamani fanyeni mtakavyo tu, tukisema nchi hii inaongozwa na mfumo katoliki mnatwambia tunaleta udini, oneni sasa watu wanaacha kuchunga kondoo wa bwana wanajihusisha na yasiyowahusu na waje basi kwenye majukwaa ya siasa.
 
Kunatofauti kati ya kanisa na serikali, ambayo kimsingi wote tunakubaliana hivi vitu viwili ni lazima visiingiliane! Lakini ni ngumu san kutofautisha imani na siasa!
 
haya jamani fanyeni mtakavyo tu, tukisema nchi hii inaongozwa na mfumo katoliki mnatwambia tunaleta udini, oneni sasa watu wanaacha kuchunga kondoo wa bwana wanajihusisha na yasiyowahusu na waje basi kwenye majukwaa ya siasa.

Yaani viongozi hao kuwasihi waumini wao kuchagua viongozi wazuri imekuwa nongwa? Hizi chuki zenu za kidini zitawaua ninyi!
 
The 18 page booklet entitled " Mpango wa Kichungaji Kuhamasisha Jamii Kuelekea Uchaguzi says the country is experiencing serious leadership problems and calls on all Catholics to fully participate in the process to elect good leaders for 2010-2015 parliamentary term…..

Wewe mleta hoja inaonesha ni mdini na una chuki za hali ya juu. Haya maneno hayo boldish unataka kuyatafsiri wakati hayahitaji tafsiri yapo loud and clear.

Hii abstract hawa jamaa wamekiri tatizo la uongozi nchini na kuwataka waumini wao kuchagua viongozi bora..wewe unataka kuitafsiri vingine..

Chuki zenu zitawaua nyinyi..
 
Kwani raisi mzuri ni lazima awe RC?

Kuna ukweli wa hizi habari?

Hii habari imeipata wapi? au nani kasema? Yaani unatanguliza chuki halafu baadae ndo unaanza kuhoji uhalali wa source ya ulichokitolea conclusion..lol
 
wangerudishiwa nini kama hawakuwa na cha kuitaifishwa.
Anyway dini zikae mbali na siasa na zihubiri na kukemea uovu wa aina zote kwa waumini wao hata mafisadi wangepungua au kupotea, ila kama dini hizi zitaendelea kuwa zinapokea fedha zilizopatikana kifisadi badala ya kuzikataa kitimtim hiki tunacho sana.
Pengo na wenzake kwenda kumfagilia Lowassa ni kosa. Waluteri kupokea fedha za kifisadi za Rostam ni upuuzi, Mkapa kuendelea kukaa mbele kanisani bila ya kuambiwa ndio chanzo cha matatizo Mengi ya mtanzania ni usalati wa dini yenyewe. Wamwambie Mkapa akiwa kile kiti cha mbele Yesu anasema aende kuuza na kurudisha alivyo pata kwa ulaghai, rushwa, na wizi awape masikini watanzania kisha amfuate Yesu ndivyo maandiko yanavyosema sio kupaka mafuta.

Waislam walikuwa na shule nyingi wamechukuliwa mfano Lumumba primary school,Mnazi mmoja primary school,Amana Primary school, Tambaza secondary school, Zanaki secondary school,Azania,Jangwani.kuna Mwembe tongwa high school Iringa zipo nyingi lakini wakristu tu ndio wanaorudishiwa shule na hospital. usisahau kibasila sekondary school.

kuhusu urais kwa wakatoliki mbona kampeni zimeanza muda mrefu anaandaliwa Membe,Pinda na Mwandosya wanaingia kwa turufu ya ukatoliki.

vizuri mngepata fursa ya kusoma kitabu cha Padri sivalon juu ya kanisa katoliki na siasa Tanzania yamewekwa wazi mambo mengi ambayo yanashangaza sana!
 
Yaani viongozi hao kuwasihi waumini wao kuchagua viongozi wazuri imekuwa nongwa? Hizi chuki zenu za kidini zitawaua ninyi!

Chuki mnazo nyinyi ambao mnaona hakuna mtu anaweza kuongoza hadi awe mkatoliki.

Malecela alizuiliwa urais based on ukatoliki.angekuwa mkatoliki angekuwa rais 1995.
akapewa Mkapa ambaye hakuwa kada mzuri wa chama wala hakuwa na haiba ya uongozi ila chuki za kikatoliki zikachukua mkondo wake.kwani wakristu ni wakatoliki tu?

hivi karibuni shule za wakatoliki zimetoa statement kuwa wao wanaziogopa shule wa Kilutheri, kwani siku zote lazima ST.FRancis na shule ya Pengo Marian Girls ndio lazima ziongoze mitihani ya Taifa.

nilieleza kwa kirefu vurugu za ajira bungeni ambako wakatoliki watatu,katibu wa bunge Thomas Kashilillah,Raphael Nombo na Madugu kazi yao kubwa ni kuajiri wakatoliki hata kama hawana uwezo wala vigezo.

mnaweza kukipitia kitabu cha The mwembechai Killings kipo online kuona nguvu za wakatoliki.
 
Hakuna sehemu iliyosema lazima awe RC wamesema Good Leader.

Katiba ya Uganda iko wazi kuwa gavana wa benki kuu lazima awe MKRISTU MKATOLIKI.
jee wakatoliki wa Tanzania wanataka kutupeleka Uganda?
 
Kwani raisi mzuri ni lazima awe RC?

Kuna ukweli wa hizi habari?

Kuna mahali wamesema rais m-RC? au wanasema rais mzuri. RC inaweza ku-influence mtu kuwa rais bila kujali dini yake la muhimu ni kuwa aweze ku deliver.
 
..badala ya kuwashutumu na sote tuamke tuanze process kama yao.

..at the end of the day, kwasababu kila mtu atakuwa makini na amechangamka, basi lazima tutapata kiongozi mwenye uwezo.

NB:

..habari hii ni isije kuwa kama yale malalamiko ya Kanisa Katoliki kuingia makubaliano na serikali kurejeshewa shule na hospitali zao zilizotaifishwa.

..wengine badala na wao kuingia mkataba wa namna hiyo na serikali waishia kulalamika tu for almost 15 years now.

Mimi sijakisoma hicho kijarida na wala sikufahamu kipo. Nashukuru mwama jamii kutudokezea. Kwa haraka haraka, uelewa wangu unanituma kuamini kuwa lengo la kijarida hicho ni KUUAMSHA UMMA WA WA TANZANIA KUELEKEA UCHAGUZI UJAO. Watanzania tumelala fofofo wakati wengine wanapiga haua mbele. Angalia kwa mafano sakata la ufisadi linaloendelea, RAISI JK KAMA KAWAIDA YUKO KIMYA, AMEISHIA DERNMARK NA KESHO ANAENDA BONDENI ni safari na ziara tuu. NATAKA KUAMINI NI KWA SABABU ALILAZIMISHA KUCHAGULIWA KWA PESA ZA ROSTAM NA KAGODA tulizopewa watanzania tukafia hapo hapo. NAKUBALIANA NA wadau kuwa wakati umefika, elimu na uamsho kuelekea kwenye uchaguzi ni muhimu, na naamini kuwa kijarida hicho hakisemi RAISI AWE RC bali TUCHAGUE RAISI ANAEFAA. Usiniulize dini yangu maana nitakwambia mimi i mwanajamii.....lakini..........nashauri ni vizuri wanajamii tuamke na tujitaidi pia kufanya uchambuzi na interpretation itakayo tupeleka kuzuri. Nilipofwatilia some wanajamii bila kuelewa wanadhan lengo la kijarida ni kuleta raisi RC sio,,,,ni kwa sababu kanisa limeguswa, wakina SLAA wapo wengi huko kanisani, na uwezo wa kuelimisha upo...wasipotumia nafasi hiyo hata mbele ya MUNGU ni dhambi. ALUTA CONTINUA...TUNAHITAJI VIONGOZI WANAOFAA.
 
Chuki mnazo nyinyi ambao mnaona hakuna mtu anaweza kuongoza hadi awe mkatoliki.

Malecela alizuiliwa urais based on ukatoliki.angekuwa mkatoliki angekuwa rais 1995.
akapewa Mkapa ambaye hakuwa kada mzuri wa chama wala hakuwa na haiba ya uongozi ila chuki za kikatoliki zikachukua mkondo wake.kwani wakristu ni wakatoliki tu?

hivi karibuni shule za wakatoliki zimetoa statement kuwa wao wanaziogopa shule wa Kilutheri, kwani siku zote lazima ST.FRancis na shule ya Pengo Marian Girls ndio lazima ziongoze mitihani ya Taifa.

nilieleza kwa kirefu vurugu za ajira bungeni ambako wakatoliki watatu,katibu wa bunge Thomas Kashilillah,Raphael Nombo na Madugu kazi yao kubwa ni kuajiri wakatoliki hata kama hawana uwezo wala vigezo.

mnaweza kukipitia kitabu cha The mwembechai Killings kipo online kuona nguvu za wakatoliki.
Not true. hii sasa ni chuki za kidini kitu ambacho hakina maana wala ushahidi. nitaendelea kuhubiri elimu kwa kila mtanzania ili tujadili hoja na sio swala la imani kwani mimi mpagani sifai kuwa rais wa tanzania??
Ila CCM ni mumiani wakubwa wako tayari kutuingiza kwenye aina yeyote ya mtafaruku isipokuwa tu kwenye mafisadi. Tuwe makini kwani mimi familia yangu ina dini zote sasa sijui tutaishi vipi kama mnataka tuanze kuchukiana kwa kigezo cha dini.Sote tumelaani mafisadi bila kujali imani zetu bila kujali imani zao awe askofu au shehe. Je sasa haya yanatoka wapi 2010??????????????????!!!!!!!!!!!!!!
 
Katiba ya Uganda iko wazi kuwa gavana wa benki kuu lazima awe MKRISTU MKATOLIKI.
jee wakatoliki wa Tanzania wanataka kutupeleka Uganda?

Hii inahusiana vipi na mada hii..chuki zimekujaa mpaka unashindwa kuona unachokiandika..
 
Chuki mnazo nyinyi ambao mnaona hakuna mtu anaweza kuongoza hadi awe mkatoliki.

Malecela alizuiliwa urais based on ukatoliki.angekuwa mkatoliki angekuwa rais 1995.
akapewa Mkapa ambaye hakuwa kada mzuri wa chama wala hakuwa na haiba ya uongozi ila chuki za kikatoliki zikachukua mkondo wake.kwani wakristu ni wakatoliki tu?

Chuki zako zinakufanya mpaka uwe kipofu..yaani unasema Mkapa amechaguliwa kwa sababu ya ukatoliki wake, hii kauli inaonesha hujui au hutaki kujua kuwa urais ni dhamana ambayo huwa inaletwa kwanza kwenye chama wote wa chama husika kwenye preliminaries, then inaletwa kwa wananchi wooote waTz wamchague nani ni bora ktk wagombea. Kauli yako inaonesha effect ya chuki inavyoweza kumpofusha mtu, yaani hujijui kuwa u-kipofu.

hivi karibuni shule za wakatoliki zimetoa statement kuwa wao wanaziogopa shule wa Kilutheri, kwani siku zote lazima ST.FRancis na shule ya Pengo Marian Girls ndio lazima ziongoze mitihani ya Taifa.

lol, hoja nyengine unazotoa nashindwa hata la kusema ..hivi uliishia darasa la ngapi mkuu?

nilieleza kwa kirefu vurugu za ajira bungeni ambako wakatoliki watatu,katibu wa bunge Thomas Kashilillah,Raphael Nombo na Madugu kazi yao kubwa ni kuajiri wakatoliki hata kama hawana uwezo wala vigezo.

Sielewi hapa unamaanisha nini..kweli nguvu ya chuki ni kubwa ...

mnaweza kukipitia kitabu cha The mwembechai Killings kipo online kuona nguvu za wakatoliki.

Unaposema wakatoliki unamaanisha nini, maana unaweza ukawa hata hujui unachoongelea..lol
 
Naomba watanzania waamke sasa wasiachie kikundi chochote kuwachagulia watu wakuwaongoza katika maisha yao.Huu ndio ujinga uliotumiwa na watu wachache wanaojiita wanamtandao ambao walifanya kila mbinu chafu kuwachagulia RAIS amabaye ni mzembe wa kufikiria pia hata hajui nani mzuri wa kusaidia katika kuongoza inchi.badala yake amekuwa anachagua watu wasio na maono wala malengo ya oungozi isipokuwa wanafanya kwa kumpendezesha yeye na wala sio kuisadia wa Tanzania wamebakia kuwasifia mafisadi.
Inatakiwa wainchi mtu ambaye mwenyesifa sio sifa za bandia na yule aliyeshindwa waachane naye.
 
mwandishi wa citizen kaamua kupotosha wananchi kwa sababu zake mwenyewe.....mpango wa civic education especially vijijini ubatakiwa kufanywa na kila taasisi na ni endelevu...utasaidia kupata mwenyekiti wa kijiji bora,diwani bora ,mbunge bora,....wote hawa wakiwa bora watamrahisishia rais kazi ya kufanya na viongozi bora,watanzania tumekuwa tukitupia macho sana sifa ya nafasi ya urais na kusahau kuhakiki sifa za viongozi wengine ambao kimsingi watahitajika kumsaidia rais,kwa sasa HATA MALAIKA AKIWA RAIS TANZANIA,KAMA VIONGOZI WALIOBAKIA HAWATAKUWA NA SIFA TUTABAKIA NA TATIZO LA UONGOZI....

Mwandishi amekuwa na tatizo lilelile la kufikiria uongozi ni urais peke yake.
 
Nyie watu cjui mna discuss nini.wakritu hawana shida na serikali ya aina yoyote inayochaguliwa.kwa kuwa they have nothing to gain or to loose.waislam ndo wanakaa na kutafuta favour hivyo siku zote wangependa raisi awe musislam
 
Si Pengo alisema Jk ni chaguo la Mungu na walimpigia debe na kumbeba juu juu. Je Hawamtaki tena au ni huyu huyu wanaemfagilia?? I am sick with this.
Viongozi wa dini ni wanafiki wakubwa wanashindwa kupambana na matatizo tuliyonayo kwa uhalisia wake na kuhuburi haki na sheria mbele ya katiba na Mungu sasa wanataka kuhaha.
Wamwiige Des mond Tutu, Martin luther King, Mother Theresa nk hawa walipigania kila aina ya haki bila kujali vitisho vya serikali zao.

The church leaders of this country and many in other Afican countries are hypocrites, good at nothing and best at shifting goal posts when their interests are jeopardised
Pengo and the entire catholic fraternity have,since independence,being the biggest beneficiaries of flawed political system - big chunks of land(prime areas),senstive and very influential political posts,financial muscles(of course backed by The Mighty Vatican)
It seems their arent served well the way they visualised at the dawn of Kikwete,s era.
Enough of church,s double standards , which followers is Pengo trying to help?
The poor catholics who every Sunday during masses are convinced and swindled of the little that they have through tithes or his Priests who spot beer bellies and always in posh 4WDs?
ASITUHADAE
 
Back
Top Bottom