Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

Uongo!
 
Wakileta tena ujinga sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Kwa hiyo unataka watu wano sema ndio kwa kila kitu.emu jaribu kutoa wazo kwenye familia yako au kwenu upime kama kila MTU atakubaliana na wewe.kama atakuwepo basis jua hata dunia ya sasa huwezi kumpata katika nyanja yoyote ile.
 
Sasa ni wabishi sio magaidi tena??
Shetani ni nunda mla watu. Atakuambia kwa sababu ulimtukana miaka 30 iliyopita. Ukimwuliza umri wake ni miaka 20, atasema ulitukana wazazi wake. Ukimwambia umri wangu miaka 28, atasema babu yako alitukana babu zangu, lazima uliwe. Tatizo ni njaa, wala siyo sababu ya kuliwa.
 
Tayari kwa serikali ya awamu ya 6 na vyombo vyake husika kitendo walichowafanyia wapinzani (CHADEMA) ni sawa na kaa la moto, kulishika kiganjani moto, kulimeza moto, kulitupa watawasha moto pia.

Walidhani ni mchezo rahisi sasa wanatapatapa .
 
Bora Umeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…