Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,822
2,000

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
6,051
2,000
Maisha haya. Mwanza leo wanapelekewa kongamano la katiba!

Nipo Mwanza.wenyewe wanamuona Mbowe ni msaliti kwa kumchongea Sabaya kipenzi Cha mwendazake. Tena wamefurahi wanasemaje dawa ya Moto Ni moto. Mbowe na cdm wabadilishe tactics za confrontation na ku-attack kabila au dini za kiongozi aliye madarakani (ilikuwa wasukuma Sasa waislamu).

Mama amechukua point, tena za bure kwa wana wa kulinda Legacy.

Anaendelea kuupiga mwingi.
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,373
2,000
Walikosa pozi la kuendelea kuwashikilia! Maana 'gaidi' wao waliyemtafuta kwa miaka mingi, walishamkamata!

Ila polisi wa nchi hii wanapenda sana kujidhalilisha!! Rushwa wao! Kuumiza na kuwajeruhi wapinzani, wao! kuua watuhumiwa, wao! Kubambikia watu kesi, wao!! Kuwatumikia ccm, wao!

Jeshi la ajabu kabisa hili!
 

Detective Cpl

Senior Member
Jul 21, 2021
195
500

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,435
2,000
Wakileta tena ujinga , sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Kama kungelikuwa na sheria inayosema ukiwa nje ya ccm hutakiwi kubisha kwa kinachoamuliwa kule, kwamba ukibisha basi wewe nigaidi, watu wenye akili kama zako msingeruhusiwa hata kufungua madomo. Ilikuwa ukipiga mwayo kabla hujatoa hicho kinyesi mdomoni, unapelekewa. Pumbavu sana jitu kama wewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom