Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

Maisha haya. Mwanza leo wanapelekewa kongamano la katiba!

Nipo Mwanza.wenyewe wanamuona Mbowe ni msaliti kwa kumchongea Sabaya. Tena wamefurahi wanasemaje dawa ya Moto Ni moto. Mbowe abadilishe tactics za confrontation.

Mama amechukua point, tena za bure kwa wana wa kulinda Legacy.

Anaendelea kuupiga mwingi.
Uongo!
 
Wakileta tena ujinga sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Kwa hiyo unataka watu wano sema ndio kwa kila kitu.emu jaribu kutoa wazo kwenye familia yako au kwenu upime kama kila MTU atakubaliana na wewe.kama atakuwepo basis jua hata dunia ya sasa huwezi kumpata katika nyanja yoyote ile.
 
Sasa ni wabishi sio magaidi tena??
Shetani ni nunda mla watu. Atakuambia kwa sababu ulimtukana miaka 30 iliyopita. Ukimwuliza umri wake ni miaka 20, atasema ulitukana wazazi wake. Ukimwambia umri wangu miaka 28, atasema babu yako alitukana babu zangu, lazima uliwe. Tatizo ni njaa, wala siyo sababu ya kuliwa.
 
Tayari kwa serikali ya awamu ya 6 na vyombo vyake husika kitendo walichowafanyia wapinzani (CHADEMA) ni sawa na kaa la moto, kulishika kiganjani moto, kulimeza moto, kulitupa watawasha moto pia.

Walidhani ni mchezo rahisi sasa wanatapatapa .
 
Shetani ni nunda mla watu. Atakuambia kwa sababu ulimtukana miaka 30 iliyopita. Ukimwuliza umri wake ni miaka 20, atasema ulitukana wazazi wake. Ukimwambia umri wangu miaka 28, atasema babu yako alitukana babu zangu, lazima uliwe. Tatizo ni njaa, wala siyo sababu ya kuliwa.
Bora Umeelewa
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom