Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

Kama kungelikuwa na sheria inayosema ukiwa nje ya ccm hutakiwi kubisha kwa kinachoamuliwa kule, kwamba ukibisha basi wewe nigaidi, watu wenye akili kama zako msingeruhusiwa hata kufungua madomo. Ilikuwa ukipiga mwayo kabla hujatoa hicho kinyesi mdomoni, unakula shaba. Pumbavu sana jitu kama wewe.
Punguza munkari kamanda utapasuka bure. Hata ukitukana watu haisaidii, mwenyekiti bado ataendelea kunyea kwenye ndoo. Take it easy bwashee
 
Siku hizi Tanzania kosa la ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi ni kosa simple simple tu kama kumtukana jirani kiasi kwamba kuachiwa huru ni fasta sana au mimi ni mshamba sijaelewa?!Nifafanulieni please!
 
Walikosa pozi la kuendelea kuwashikilia! Maana 'gaidi' wao waliyemtafuta kwa miaka mingi, walishamkamata!

Ila polisi wa nchi hii wanapenda sana kujidhalilisha!! Rushwa wao! Kuumiza na kuwajeruhi wapinzani, wao! kuua watuhumiwa, wao! Kubambikia watu kesi, wao!! Kuwatumikia ccm, wao!

Jeshi la ajabu kabisa hili!
Polish wanatumwa
 
Kuna vitu vinachekesha sana. Hivi “terrorists” mnawajua nyie? The day Al Shabab wakitia team na kutoa demo moja tu nadhani ndio tutaelewa.
 
Wakileta tena ujinga , sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Hakika
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Back
Top Bottom