Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

Tumesha wachokonoa mabeberu vya kutosha, wametupiga "ONYO" za kutosha ila tunajifanya viburi, sasa tunakaribisha "MAADUI" wa mabeberu kabisa.

Muda si mrefu watanzania akili zitatukaa sawa, si tunajifanya "wehu/vichaa/wabishi/jeuri/viburi" wa kusoma alama za nyakati.

Watanzania sio viumbe wa kuonewa huruma, acha watunyooshe tu kisawasawa.
Waonyooshwe watu kama wewe uliye koloni la Mr Amsterdam na yule mteja wake.
 
mbona Tb Joshua hakuonekana? au alikuja muwakilishi wake?
Alikuwepo ni yule aliyekaa katikati ya balozi wa marekani na uingereza anaonekana amevaa Kaunda suti navy blue na bendera ya CCM mkononi, pia nyuma yake anaonekana balozi wa ujerumani akiwa mtu mwenye bashasha na shauku na kushoto kwa Polepole ni balozi wa China.
 
Hawa majamaa sijui Wana akli gan Tu, kuhusu uraisi Lissu kapigwa kichapo kikali mno hyo haina ubishi. Kwa macho yangu nimeshuhudia Lissu akiscore zero kwenye kutuo, af Leo mmoja anadai et kaibiwa, ukakasi upo kwenye majimbo ya ubunge tena baadhi hayazid hata 40 huko ndo kuna Kila dalili matokeo ya ubunge yalikuwa upside down, ila kwa ngazi ya uraisi hata wakirudia leo itakuwa ni aibu tu kwa Lissu.
Ni wachache wanaweza fikiria hivyo uwazavyo wewe, Kuna wakati inabidi tuache ushabiki kwa kusema ukweli ili Mambo yawe bayana!
 
Back
Top Bottom