Mkuu unajua nyie haya mambo huwa mnayashabikia sana yakiwa sio ya upande wenu, wakati mnaendesha kampeni za kikabila we were getting the same feelings, sasa duhwasha linawarudia mnaona sio sawa..
Angalao mkuu Nyani Ngabu kuna kipindi aliweka hisia pembeni, na pengine hapa mengi tunamuonea ila wengi wenu mlivaa viatu vya kikabila wazi wazi na kuendesha siasa za kibabe dhidi ya wale ambao walikuwa hawawaungi mkono... .. time to take your lunch Mr.

Funga domo lako we nyumbu! Eti niliweka hisia pembeni!!

Huna uwezo wa kiakili wa kuweza kulitambua hilo.

Na uache kunitaja taja.

Wewe ndiye mkabila.
 
Huna jipya mzee.
Huna hoja ndo maana unaandika hivyo vi one-liners vyako.

Safari ijayo kama huna hoja ni heri ukapita kimya kimya tu kuliko kujichekesha na kuandika vi one-liners visivyo na mbele wala nyuma.
 
Funga domo lako we nyumbu! Eti niliweka hisia pembeni!!

Huna uwezo wa kiakili wa kuweza kulitambua hilo.

Na uache kunitaja taja.

Wewe ndiye mkabila.
Na hadi miaka kumi iishe mtakoma na kakundi kenu ka wachunga ngombe
 
Nimestuka sana kusikia mh rais wangu atakutana na kamati yake ya chama ikulu ,nani huyu anamshauri haya jamani? Chama chochote kikitumia majengo ya serikali inapaswa kuwa imeyakodisha ,au serikali hukodisha kwa taasisi mbali mbali.
Ccm mali ya wana ccm tu,ikulu ni Mali ya watanzania ,mama anasema tufanye siasa za heshima tumesikia ,ila hata wiki haijaisha anamuiga mwendazake tena.
Mm sasaivi naamini kwenye hotuba yako LAKINI NAANGALIA MATENDO YAKO KAMA YA ENDANA ,ADUMU RAIS WA TAIFA LA TANZANIA MAMA SULUHU
Mama siku nyingine kafanyieni hotel au kwenye kumbi ambazo ni mali ya chama .wewe ni mwenyekiti wa ccm,kile kikao hakiwahusu watanzs

IMG-20211217-WA0049.jpg
 
View attachment 2047956
Wapinzani Wakihoji wanasema Wanavunja SHERIA IKULU ni Majengo ya SERIKALI sio ya Chama ndio maana TUNATAKA KATIBA MPYA kwa Ajili ya Mambo kama Haya
 
Mtu yyte anaweza kufanya mkutano ikulu. Ikulu ni ya wote. Muhimu mtume maombi ya kufanya mkutano wenu.
Kuhusu majibu waachie ikulu waamue
 
Nimestuka sana kusikia mh rais wangu atakutana na kamati yake ya chama ikulu ,nani huyu anamshauri haya jamani? Chama chochote kikitumia majengo ya serikali inapaswa kuwa imeyakodisha ,au serikali hukodisha kwa taasisi mbali mbali.
Ccm mali ya wana ccm tu,ikulu ni Mali ya watanzania ,mama anasema tufanye siasa za heshima tumesikia ,ila hata wiki haijaisha anamuiga mwendazake tena.
Mm sasaivi naamini kwenye hotuba yako LAKINI NAANGALIA MATENDO YAKO KAMA YA ENDANA ,ADUMU RAIS WA TAIFA LA TANZANIA MAMA SULUHU
Mama siku nyingine kafanyieni hotel au kwenye kumbi ambazo ni mali ya chama .wewe ni mwenyekiti wa ccm,kile kikao hakiwahusu watanzs

View attachment 2047956
Mwisho wao u karibu
 
Mtu yyte anaweza kufanya mkutano ikulu. Ikulu ni ya wote. Muhimu mtume maombi ya kufanya mkutano wenu.
Kuhusu majibu waachie ikulu waamue
Ikulu haipaswi kusovelewa na itikadi ya wachache vyovyote ,unaombaje mufanyia chama chako mkutano ikulu mahotel yalivyo jaa ,hivyo viti vime ununuliwa kwa sehemu na mchango wa mamilion wasio wanaccm
 
Back
Top Bottom