Vijana wa Tanga mna shida gani?

Vijana wa Tanga mna shida gani?

Mtindo wa Maisha ya watu wa Ukanda wa Pwani yanafanana.
Watu wengi wa Pwani Wana utamaduni wa mambo ya kiswahili-swahili, mipasho, blah blah nyingi pamoja na porojo kibao midomoni mwao. Wanapenda kuongea saaana kupita kiasi kuliko vitendo. Walio wengi hawapendi sana masuala ya kwenda shule ili kupata maarifa ya elimu dunia.
Bibi FaizaFoxy asiione hii
 
Nilistaajabu sana mwaka 2013 nilipokuwa nmemtembelea mshikaji wangu aliyekuwa yuko Tanga kikazi, ile siku alipomtudisha mke wa mtu nyumbani kwake maeneo ya Mwamboni akiwa katoka kumto**a halafu mumewe tukamkuta nje ya nyumba. Yule bwege alisalimia kabisa japo kinyongenyonge halafu akamshukuru mwamba kwa kumrudisha mkewe nyumbani mapema siku hiyo.

Wakati tunaondoka nkamuuliza mwana kuhusu yule jamaa, ni nani na je anajua mahusiano yake na yule manzi? Mwamba alijibu simple tu kuwa yule ni mumewe na anajua kwamba huwa anamto***ga mkewe ila kwa kuwa yeye ndo anaewalisha na kuwaweka town wote wawili basi jamaa hana kipingamizi na mahusino yao. Alisema hata kama angetaka kulala kabisa na yule mwanamke basi jamaa angepiga simu kinyonge kwa mke wake akajibiwa jibu moja tu akafyumu.

Wanaume wa huu mkoa nna mashaka nao na kiwango cha uanaume wao toka siku ile.
Ndo maana wanakutwa tu wamejifia zao chumbani, hivi kwa akili yako wewe utafanya huo ujinga kwa mke wa mtu na mumewe anajua huku ukijisifu unahudumia? Kwanza nikuulize, huyo jamaa yako yupo hai mpaka leo?
 
Nilistaajabu sana mwaka 2013 nilipokuwa nmemtembelea mshikaji wangu aliyekuwa yuko Tanga kikazi, ile siku alipomtudisha mke wa mtu nyumbani kwake maeneo ya Mwamboni akiwa katoka kumto**a halafu mumewe tukamkuta nje ya nyumba. Yule bwege alisalimia kabisa japo kinyongenyonge halafu akamshukuru mwamba kwa kumrudisha mkewe nyumbani mapema siku hiyo.

Wakati tunaondoka nkamuuliza mwana kuhusu yule jamaa, ni nani na je anajua mahusiano yake na yule manzi? Mwamba alijibu simple tu kuwa yule ni mumewe na anajua kwamba huwa anamto***ga mkewe ila kwa kuwa yeye ndo anaewalisha na kuwaweka town wote wawili basi jamaa hana kipingamizi na mahusino yao. Alisema hata kama angetaka kulala kabisa na yule mwanamke basi jamaa angepiga simu kinyonge kwa mke wake akajibiwa jibu moja tu akafyumu.
Wanaume wa huu mkoa nna mashaka nao na kiwango cha uanaume wao toka siku ile.
Hii kamba ya mdizi, hata kama ni utunzi,muwe mnatumia akili japo kidogo
 
Hata zanzibar unakuta mtu kaoa anaishi nyumba ya Baba na Mama yake anazaa anaongeza na mke wa pili humo humo
Labda kuna kitu hukifahamu Sisi Wazanzibari tunapenda kuishi na wazazi wetu au wazee wetu husasan wanapokuwa wazee kiumri kwa sababu ni wakati wetu wa kuwalea ndio maana kama wewe na mfano wako wewe wa kuwatupa wazee wako hiyo sio shida zetu .By the way watoto wa haramu bara ni wengi mno 70 au 80 % ni watoto wa haramu so kuwatunza wazee wao sio lazima kwao.
 
alafu [emoji777]
Halafu [emoji3581]
kira mtoto [emoji777]
kila mtoto... [emoji3581]
ndo [emoji777]
ndiyo..[emoji3581]

Wakati fulani kujibizana na watu mliokimbia umande kama wewe, ni kujidhalilisha tu.
Unajitetea kuhusu umande ,pamoja na huo urekebishaji wa kiswahili chako bado Wewe ni mjinga hujitambui
 
Tanga ni sawa na Kigoma, Lindi Mjini, Tabora, na Kondoa......vijana hawana haja ya kazi, wao wanaona ujiko kushinda na kuswali swala 5 huku wengi wao wakiwa hawana elimu yeyote ile. Vijana wa hii mikoa ni mazwazwa na wameridhika na maisha duni waliyonayo huku wakisingizia dini kuwa ni kigezo. Yaani wanahisi Uislam ni dhiki na ndivyo akili zao zinavyowatuma.
Wewe una chuki na Uislamu na Waislamu .Uislamu umehimiza sana watu wafanye kazi special biashara kuhusu kusali kwa sisi waislamu ni Amri lazima uswali sala tano kwa siku hamzuii au kumkataza mtu kufanya kazi hayo mengine tuliza mshono wako .
 
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.

1. Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).

2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus

3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.

4. Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
Akili kubwa huongelea maendeleo.
Akili za kawaida huongelea matukio.
Akili mbovu huongelea watu.
 
alafu [emoji777]
Halafu [emoji3581]
kira mtoto [emoji777]
kila mtoto... [emoji3581]
ndo [emoji777]
ndiyo..[emoji3581]

Wakati fulani kujibizana na watu mliokimbia umande kama wewe, ni kujidhalilisha tu.
Mimi nimekimbia umande sawa,lakin pamoja na Wewe kutokimbia umande bado kichwa chako kimejaa machicha urijal ni kuwajibika kwenye familia uliyoileta duniani ila sio kuzalisha na kukimbia kwa kisingizio cha Wewe et rijali kizazi chako kitapata tabu sana kwa huo ujinga wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom