ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,246
- 12,430
hakuna utamaduni ni uvivu nilishawahi kwenda kufanya Kaz Tanga Kaz ya masaa manne nikakaa siku mbili fundi anakwambia kesho nitakua site saa nne nitafanya Kaz mpaka saa sita halafu nitaenda kula na kupumzika kidogo Kisha nitarejea saa kumi baada ya swala ilibidi nimvumulie tu maana niliambiwa huyu ndio jembe lao baada ya kua ninekimbiza mafundi wengi.Maisha ni namna unavyoya define wewe na jamii yako!
Ni ujinga kutoa maana ya maisha kwa tafsiri ya jamii nyingine isiyo na faida kwako!
Watu waishi. Mila, tamaduni na utaratibu wa jamii moja moja uheshimiwe!
Karibu Sabasaba tutafune Mdudu!
So ndugu yetu huu sio utamaduni ila ni malezi mabaya