Vijana wa Tanga mna shida gani?

Vijana wa Tanga mna shida gani?

Hao wanaoshinda kutwa kwenye bao, huenda wana 'chuma ulete' majumbani mwao.
 
Nilistaajabu sana mwaka 2013 nilipokuwa nmemtembelea mshikaji wangu aliyekuwa yuko Tanga kikazi, ile siku alipomtudisha mke wa mtu nyumbani kwake maeneo ya Mwamboni akiwa katoka kumto**a halafu mumewe tukamkuta nje ya nyumba. Yule bwege alisalimia kabisa japo kinyongenyonge halafu akamshukuru mwamba kwa kumrudisha mkewe nyumbani mapema siku hiyo.

Wakati tunaondoka nkamuuliza mwana kuhusu yule jamaa, ni nani na je anajua mahusiano yake na yule manzi? Mwamba alijibu simple tu kuwa yule ni mumewe na anajua kwamba huwa anamto***ga mkewe ila kwa kuwa yeye ndo anaewalisha na kuwaweka town wote wawili basi jamaa hana kipingamizi na mahusino yao. Alisema hata kama angetaka kulala kabisa na yule mwanamke basi jamaa angepiga simu kinyonge kwa mke wake akajibiwa jibu moja tu akafyumu.

Wanaume wa huu mkoa nna mashaka nao na kiwango cha uanaume wao toka siku ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii sanaaa.
 
Wewe acha ufala unazalisha alafu hulei kira mtoto na mama yake ,alafu ulivyo kenge et unaita urijali kweli umejaa mavi kwenye hicho kichwa ndo nyie mnaotuletea machokolaa mtaani
alafu ❌
Halafu ✔️
kira mtoto ❌
kila mtoto... ✔️
ndo ❌
ndiyo..✔️

Wakati fulani kujibizana na watu mliokimbia umande kama wewe, ni kujidhalilisha tu.
 
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.

1. Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).

2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus

3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.

4. Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
Tanga ni sawa na Kigoma, Lindi Mjini, Tabora, na Kondoa......vijana hawana haja ya kazi, wao wanaona ujiko kushinda na kuswali swala 5 huku wengi wao wakiwa hawana elimu yeyote ile. Vijana wa hii mikoa ni mazwazwa na wameridhika na maisha duni waliyonayo huku wakisingizia dini kuwa ni kigezo. Yaani wanahisi Uislam ni dhiki na ndivyo akili zao zinavyowatuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom