Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,950
- 136,709
Kwa hiyo na wewe umezalishwa na wenzako tofauti tofauti! Sasa si ndiyo urijali wenyewe huo!!Kuna kitu umekisahau,kuzalisha hovyo wanawake tena tofaut tofaut
Kwa hiyo na wewe umezalishwa na wenzako tofauti tofauti! Sasa si ndiyo urijali wenyewe huo!!Kuna kitu umekisahau,kuzalisha hovyo wanawake tena tofaut tofaut
Na hili ndilo tatizo la wengi wenu mnaochangia kwenye huu uzi. Yaani mnafikiri Mkoa wa Tanga unaihusisha Tanga mjini tu.Mtindo wa Maisha ya watu wa Ukanda wa Pwani yanafanana.
Watu wengi wa Pwani Wana utamaduni wa mambo ya kiswahili-swahili, mipasho, blah blah nyingi pamoja na porojo kibao midomoni mwao. Wanapenda kuongea saaana kupita kiasi kuliko vitendo. Walio wengi hawapendi sana masuala ya kwenda shule ili kupata maarifa ya elimu dunia.
Hata zanzibar unakuta mtu kaoa anaishi nyumba ya Baba na Mama yake anazaa anaongeza na mke wa pili humo humoSijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.
1.Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).
2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus
3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.
4.Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
Mimi sijaizungumzia Tanga kama Tanga, Bali nimegusia watu wote wenyeji wa asili wa ukanda wa Pwani ukianzia mkoa wa Mtwara, Lindi, Pwani, Dsm, Tanga, Mombasa, Lamu na hata Zanzibar. Wenyeji wa asili wa maeneo haya Wana tamaduni fulani Fulani zinazofanana kama ambavyo nimeeleza kwenye comment yangu ya awali.Na hili ndilo tatizo la wengi wenu mnaochangia kwenye huu uzi. Yaani mnafikiri Mkoa wa Tanga unaihusisha Tanga mjini tu.
Kumbe Mkoa umegawanyika katika Wilaya nyingi, na zenye watu wenye maisha na tamaduni tofauti kabisa na hizo za wakazi wa Tanga mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pia wengi wanafahaumu michepuko ya wake zao ila hawana usemi kwa sababu ni marioo.
Huko kuna kipindi nilienda,vijana wanawaza kuoa tu na kazi hawataki,wanapenda kazi laini laini,kama kuuza juisi ya miwa,salonSijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.
1.Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).
2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus
3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.
4.Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanga kwa njeka na mabovu bila kusahau nguvu mali.
Wapi wanangu wa sahare......
Tanga wavaa misuli, Tanga mtoto wa kiume kusutana na mwaju au Aisha ni kawaida sana.
Watoto wenyewe weupe kina Farid [emoji28][emoji28][emoji28]
Watoto wa kiume kama mabinti wametepeta yaani urojo wa zenji....
Ila mabinti wa kitanga sifa ziende kwao.
Watokea tangaa cocaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukaa maskaniMtindo wa Maisha ya watu wa Ukanda wa Pwani yanafanana.
Watu wengi wa Pwani Wana utamaduni wa mambo ya kiswahili-swahili, mipasho, blah blah nyingi pamoja na porojo kibao midomoni mwao. Wanapenda kuongea saaana kupita kiasi kuliko vitendo. Walio wengi hawapendi sana masuala ya kwenda shule ili kupata maarifa ya elimu dunia.
Wasamba kdg wagumu ila wadigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe acha ufala unazalisha alafu hulei kira mtoto na mama yake ,alafu ulivyo kenge et unaita urijali kweli umejaa mavi kwenye hicho kichwa ndo nyie mnaotuletea machokolaa mtaaniKwa hiyo na wewe umezalishwa na wenzako tofauti tofauti! Sasa si ndiyo urijali wenyewe huo!!
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.
1.Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).
2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus
3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.
4.Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
Ndugu usibishe ,Nina rafiki ni mtu wa tanga nafanya nae kaz nilichoka siku moja aliponiambia amewahi muingilia kinyume na maumbile mwanaume mwenzie akasema hyo dhambi inamtesa sanaNiliwahi kuishi Tanga kwa muda Fulani, mbona hayo unayosema sikuwahi kushuhudia wala sikuwahi kupata taarifa zake hata siku moja?? Hivi huwa mnakuwa mko serious mnamaanisha kuwa ni ukweli au huwa ni utami tu wa kuwapaka matope watu wa Tanga kuhusiana na suala hili??????
Mashoga haoSijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.