Vijana wa Tanga mna shida gani?

Vijana wa Tanga mna shida gani?

Tanga kwa njeka na mabovu bila kusahau nguvu mali.
Wapi wanangu wa sahare......

Tanga wavaa misuli, Tanga mtoto wa kiume kusutana na mwaju au Aisha ni kawaida sana.

Watoto wenyewe weupe kina Farid [emoji28][emoji28][emoji28]

Watoto wa kiume kama mabinti wametepeta yaani urojo wa zenji....

Ila mabinti wa kitanga sifa ziende kwao.
Mzee unajua kuchana, karibu nikugongee biti
 
Kuishi ukweni Raha sana unapishana bafuni na mama mkwe akiwa ndani ya kanga Moko. Ngoja niishie hapa tu

Niliwahi kuwa na jamaa yangu alipanga Nyumba kule Chumbageni iliyokuwa inamilikiwa na Mama ambaye alikuwa na watoto wa kike tupu, jamaa alikuwa muuza mitumba barabara ya 12 ...huyu Bwana kwa uwezo wake wa sent zake aliwakwangua watoto Hadi Mama mwenyenyumba ila bahati mbaya 2002 huyo bwana alitangulia na baadae Mama na watoto walifuata, kitu kingine nilishangaa nikiwa Tanga wakati huo ni watu wazima wanaume kuingia dukani na kununua vile vifuta vya "Ray's" vya Tsh 100 na nilipomuuliza mwenyeji wangu kwanini hivyo? Akaniambia nenda Bombo Hospital utapata jibu
 
Duh wazee wanachimba mtaro.
 
Mtindo wa Maisha ya watu wa Ukanda wa Pwani yanafanana.
Watu wengi wa Pwani Wana utamaduni wa mambo ya kiswahili-swahili, mipasho, blah blah nyingi pamoja na porojo kibao midomoni mwao. Wanapenda kuongea saaana kupita kiasi kuliko vitendo. Walio wengi hawapendi sana masuala ya kwenda shule ili kupata maarifa ya elimu dunia.
Kuna jamaa alidai Waswahili wa Pwani hawafai kukabidhiwa nchi.
 
Hapo kwenye ushirikina ebu ongeza nyama!
Hili nimeli observe kwenye aspects tatu

1. biashara
Wengi wanaoanzisha biashara hutegemea kuaguliwa na waganga na kupewa dawa na kufunga kwenye milango kuchimbia ardhini au kutembea nazo.

Mtu anaanzisha biashara hafanyi market analysis, hana bussiness management skills(finances) biashara ikiyumba anasingizia kurogwa.

2. mahusiano/mapenzi
Hii mostly ipo kwa akina dada inshort wadada wanaroga sana

3. Wivu/chuki

Kwanini flani afanikiwe. mtu arakuroga tu kwa wivu wa mafanikio ulionayo bila kujua ni kwa kiasi gani umepambana kufika ulipo.
 
Mtindo wa Maisha ya watu wa Ukanda wa Pwani yanafanana.
Watu wengi wa Pwani Wana utamaduni wa mambo ya kiswahili-swahili, mipasho, blah blah nyingi pamoja na porojo kibao midomoni mwao. Wanapenda kuongea saaana kupita kiasi kuliko vitendo. Walio wengi hawapendi sana masuala ya kwenda shule ili kupata maarifa ya elimu dunia.
Absolutely msukumo wa kusaka elimu upo chini sana.

Wazazi hawana bidii kusimamia watoto wao hususani wa kike.
Nimeshuhudia ndoa kadhaa mabinti wa umri wa miaka 15-16 wakiolewa.
 
Taratibu kaka!! Uchina, nilifika kwenye kiwanda cha kuzalisha machines mbalimbali!! Bahati mbaya sikuuliza tamaduni zao, nikafika pale saa nane kamili!!

Nikajibiwa hutaweza kuonana na mtu muda huu ni muda wa mapumziko na ni lazima!! Wakitoka lunch, inayoanza saa sita nanusu mpaka saba unusu! Wanapumzika "kulala" kwa lisaa limoja! Baada ya hapo kazi kama kawaida!! Hiyo ni ratiba ya lazima!!

Na actually niliipenda!! Tukapiga misele na mwenyeji then tuliporudi baadae kila kitu fresh!!

Bro! Hawa tuwaweke kundi gani tofauti na huyo wa Tanga aliyejiwekea ratiba yake ya kazi, mpumziko na kuswali?? Just curious
wa Tanga alikua mvivu kaka niamin Mimi ndio nilikua naye site watu wa hivi pia wapo Dodoma ni vigumu sana kupiga Kaz na wazawa
 
Wavivu wapo katika jamii zote...ama kwenu hawapo?

Wewe ulishafanya kazi na Mgogo kwao ugogoni?

Ndg yangu hakuna malezi mabaya. Wewe kazini kwako unafika kwa wakati?
wagogo ndio noma sasa hawana mpinzan katika hili
 
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.

1. Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).

2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus

3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.

4. Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
Mkuu hii haiko Tanga tu bali ktk mikoa yote ya Pwani. Hii hasa inatokana na malezi kwa kuwa hats wazazi huwa wanabariki ujinga huu bila kuhoji wala kusikitishwa na vitendo hivi
 
Maisha ni namna unavyoya define wewe na jamii yako!

Ni ujinga kutoa maana ya maisha kwa tafsiri ya jamii nyingine isiyo na faida kwako!
Watu waishi. Mila, tamaduni na utaratibu wa jamii moja moja uheshimiwe!

Karibu Sabasaba tutafune Mdudu!
Skupingi usemachi ni sahihi ila si kila kifanywacho na jamii husika kama sehemu ya mila na desturi ni sahihi. kuna baadhi ya makabila:
kukeketa,
Kurithi wajane,

ni sehemu ya mila zao.
 
Skupingi usemachi ni sahihi ila si kila kifanywacho na jamii husika kama sehemu ya mila na desturi ni sahihi. kuna baadhi ya makabila:
kukeketa,
Kurithi wajane,

ni sehemu ya mila zao.
Kwamba kukeketa (unyago wa aina yake) ni mbaya kwa tafsiri ya nani?

Kurithi wajane nako ni kubaya kwa tafsiri ya nani?

Kuna tofauti gani ya kuwa na mchepuko nje ya mwenzi wako na kurithi mjane?

Mambo mengine tunalishwa tu na jamii "zinazoona tamaduni zao ni bora kuliko za wengine" na sisi kwa ulifa wetu tunapokea na kuziabudu.
 
Niliwahi kuishi Tanga kwa muda Fulani, mbona hayo unayosema sikuwahi kushuhudia wala sikuwahi kupata taarifa zake hata siku moja?? Hivi huwa mnakuwa mko serious mnamaanisha kuwa ni ukweli au huwa ni utani tu wa kuwapaka matope watu wa Tanga kuhusiana na suala hili??????
Bado hujaijua tanga vizuri yaani tunacho ongelea hapa ni tabia ya watu wake kupenda nyuma sasa hii michezo huwezi kuwaona watu wakifanya live mabarabarani.
 
Na hili ndilo tatizo la wengi wenu mnaochangia kwenye huu uzi. Yaani mnafikiri Mkoa wa Tanga unaihusisha Tanga mjini tu.
Kumbe Mkoa umegawanyika katika Wilaya nyingi, na zenye watu wenye maisha na tamaduni tofauti kabisa na hizo za wakazi wa Tanga mjini.
Wabongo wengi wamekalili kufikia Tanga mjini wanadhani wameimaliza Tanga yote tembeeni Tanga yote na wilaya zake zote na kata zote Kuna tamaduni tofauti tofauti ila suala la kuongea sana na ushirikina nahisi ni Tanga yote😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom