Billionaire2025
Member
- Dec 11, 2023
- 11
- 47
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.
1. Si jambo la kushangaza mkoani Tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake (mke na watoto).
2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram, drafti na vijiwe vya alkasus.
3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani, wanaona maisha wameyapatia.
4. Kuendekeza sana ushirikina (uganga).