Vijana wa Tanga mna shida gani?

Vijana wa Tanga mna shida gani?

Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.

1. Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).

2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus

3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.

4. Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).
Nyumba Mganga, nyumba punga
 
Akili kubwa huongelea maendeleo.
Akili za kawaida huongelea matukio.
Akili mbovu huongelea watu.
"Never under estimate the power of stupid people in large groups" George Carlin

Stupidity makes you dangerous to yourself and everyone around you

LUMMOX
 
Simple logic na comon sense hai itaji utashi mwingi kujua athari za haya unayo yatetea.

1. Ukeketaji( female genital multilation )

- Ukeketaji unahusisha uondoaji wa sehemu au sehemu yote ya siri ya nje ya mwanamke au kuweka jeraha lingine kwa viungo vya uzazi vya mwanamke kwa sababu zisizo za kimatibabu.

Kitendo hiki hakina faida za kiafya kwa wasichana na wanawake.

- Ukeketaji unaweza kusababisha kutokwa na damu nyingi na matatizo ya kukojoa, na baadaye uvimbe, maambukizo, pamoja na matatizo wakati wa kujifungua na kuongezeka kwa hatari ya vifo vya watoto wachanga.

- Zaidi ya wasichana na wanawake milioni 200 walio hai leo wamefanyiwa ukeketaji katika nchi 30 za Afrika, Mashariki ya Kati na Asia ambako ukeketaji unafanyika kwa kiwango cha juu.

2. Kurithi wajane
Hata hili jamani. Jiongeze basi

Kulishwa jambo/ kuarifiwa juu ya jambo fulani. Haifungi uwezo wako wa kufikiri kwakua wewe ni mwanadamu mwenye akili timamu, ni jukumu lako kuchuja na kuamua kufuata the right and best way.
Haya uliyajua lini?

Baada ya kwenda shuñe sio?

Baadhi ya mapokeo ya shuleni na ya wageni ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Haya uliyajua lini?

Baada ya kwenda shuñe sio?

Baadhi ya mapokeo ya shuleni na ya wageni ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Okay usemacho kina make sense, lakini si kila tulichojifunza shule kina ubaya.

1. Naomba nielezee faida za ukeketaji na kurithi wajane.
 
Okay usemacho kina make sense, lakini si kila tulichojifunza shule kina ubaya.

1. Naomba nielezee faida za ukeketaji na kurithi wajane.
Samahani si kwa ubaya. Ukimpata mzee umri wa babu/bibi yako akikueleza unaweza kumuamini.

Faida ni kede wa kede. Achana na story sijui za haki ya binadamu.
 
Labda kuna kitu hukifahamu Sisi Wazanzibari tunapenda kuishi na wazazi wetu au wazee wetu husasan wanapokuwa wazee kiumri kwa sababu ni wakati wetu wa kuwalea ndio maana kama wewe na mfano wako wewe wa kuwatupa wazee wako hiyo sio shida zetu .By the way watoto wa haramu bara ni wengi mno 70 au 80 % ni watoto wa haramu so kuwatunza wazee wao sio lazima kwao.
Anhaa nimeelewa kuwa mnaupendo wa kuwatunza wazazi kwa ukaribu sana,enhee hapo kwenye hizo asilimia unaweza ukatusaidia chanzo ulichotumia ili tuthibitishe kauli yako?
 
Labda kuna kitu hukifahamu Sisi Wazanzibari tunapenda kuishi na wazazi wetu au wazee wetu husasan wanapokuwa wazee kiumri kwa sababu ni wakati wetu wa kuwalea ndio maana kama wewe na mfano wako wewe wa kuwatupa wazee wako hiyo sio shida zetu .By the way watoto wa haramu bara ni wengi mno 70 au 80 % ni watoto wa haramu so kuwatunza wazee wao sio lazima kwao.
Definitely
 
Anadunda vizuri tu na mtoto alishazalisha huyo mke wa yule fala maana demu alijiongeza zaidi ili huduma zisikome. Kwasasa mwamba yuko Dom ila sijui kama anaendeleaga kuzagamua ule mzigo.
Mwambie aendelee asiache
 
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.

1. Si jambo la kushangaza mkoani Tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake (mke na watoto).
2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram, drafti na vijiwe vya alkasus.
3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani, wanaona maisha wameyapatia.
4. Kuendekeza sana ushirikina (uganga).
Wazee wao walikuwa hivyo , wanafuata yale yale. Japokuwa si wazee wote

Kuna jamii zinahitaji cultural revolution, else wataendelea kulalamika kuachwa nyuma
 
Nasikia kwamba eti mapenzi ndiko yalikozaliwa huko.
 
Tanga ni sawa na Kigoma, Lindi Mjini, Tabora, na Kondoa......vijana hawana haja ya kazi, wao wanaona ujiko kushinda na kuswali swala 5 huku wengi wao wakiwa hawana elimu yeyote ile. Vijana wa hii mikoa ni mazwazwa na wameridhika na maisha duni waliyonayo huku wakisingizia dini kuwa ni kigezo. Yaani wanahisi Uislam ni dhiki na ndivyo akili zao zinavyowatuma.
Kigoma ujiji ndo wana tabia hizo sio kigoma yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom