Vijana wa Tanga mna shida gani?

Vijana wa Tanga mna shida gani?

Niliwahi kuishi Tanga kwa muda Fulani, mbona hayo unayosema sikuwahi kushuhudia wala sikuwahi kupata taarifa zake hata siku moja?? Hivi huwa mnakuwa mko serious mnamaanisha kuwa ni ukweli au huwa ni utami tu wa kuwapaka matope watu wa Tanga kuhusiana na suala hili??

Okay, waweza kunijuza ili niijue Tanga vizuri. Huenda sisi wengine tupo tupo tu kama maamuma, hatuijui vizuri miji ya watu.
Hujajichanganya na mtaa vizuri.
 
Kwamba kukeketa (unyago wa aina yake) ni mbaya kwa tafsiri ya nani?

Kurithi wajane nako ni kubaya kwa tafsiri ya nani?

Kuna tofauti gani ya kuwa na mchepuko nje ya mwenzi wako na kurithi mjane?

Mambo mengine tunalishwa tu na jamii "zinazoona tamaduni zao ni bora kuliko za wengine" na sisi kwa ulifa wetu tunapokea na kuziabudu.
Simple logic na comon sense hai itaji utashi mwingi kujua athari za haya unayo yatetea.

1. Ukeketaji( female genital multilation )

- Ukeketaji unahusisha uondoaji wa sehemu au sehemu yote ya siri ya nje ya mwanamke au kuweka jeraha lingine kwa viungo vya uzazi vya mwanamke kwa sababu zisizo za kimatibabu.

Kitendo hiki hakina faida za kiafya kwa wasichana na wanawake.

- Ukeketaji unaweza kusababisha kutokwa na damu nyingi na matatizo ya kukojoa, na baadaye uvimbe, maambukizo, pamoja na matatizo wakati wa kujifungua na kuongezeka kwa hatari ya vifo vya watoto wachanga.

- Zaidi ya wasichana na wanawake milioni 200 walio hai leo wamefanyiwa ukeketaji katika nchi 30 za Afrika, Mashariki ya Kati na Asia ambako ukeketaji unafanyika kwa kiwango cha juu.

2. Kurithi wajane
Hata hili jamani. Jiongeze basi

Kulishwa jambo/ kuarifiwa juu ya jambo fulani. Haifungi uwezo wako wa kufikiri kwakua wewe ni mwanadamu mwenye akili timamu, ni jukumu lako kuchuja na kuamua kufuata the right and best way.
 
Mz

Mzee tiwedi,mosie 😀😀 sema wasambaa wanaongea sana
Mosie nzeze.

Kule tanga nimepita maeneo mengi sana aisee.

Nakumbuka kule juu lushoto kuna mahali wanaita mlalo.

Nimekula sana mapeaz, miwa, ma apple,

Mabasi yao maarufu kule ni Umba River, chakito long way bus,

Soni, Lushoto, magamba, mtae daah, ile milima tu tokea pale Mombo ni balaa gari zinapishana kwenye barabara nyembambaa ila ajabu ajali ni chache mnoo.
 
Mosie nzeze.

Kule tanga nimepita maeneo mengi sana aisee.

Nakumbuka kule juu lushoto kuna mahali wanaita mlalo.

Nimekula sana mapeaz, miwa, ma apple,

Mabasi yao maarufu kule ni Umba River, chakito long way bus,

Soni, Lushoto, magamba, mtae daah, ile milima tu tokea pale Mombo ni balaa gari zinapishana kwenye barabara nyembambaa ila ajabu ajali ni chache mnoo.
Yah barabara Zina Kona hatari Hadi wanaweka vioo vya kuangalizia kabla ya Kona na ajali hakuna,watu wengi wanaongea wanaijua Tanga uko kote hawajafika😀😀
 
Yah barabara Zina Kona hatari Hadi wanaweka vioo vya kuangalizia kabla ya Kona na ajali hakuna,watu wengi wanaongea wanaijua Tanga uko kote hawajafika😀😀
Tanga mjini huko watu wengi wamefika ila huko vijijini wakihesabu.

Huko mlalo kuna baridi bwana, baridi inakuja na upepo.

Wenyeji wanaita puku. Hatari.

Well Tanga ni pazuri kiasi chake.
 
Labda kuna kitu hukifahamu Sisi Wazanzibari tunapenda kuishi na wazazi wetu au wazee wetu husasan wanapokuwa wazee kiumri kwa sababu ni wakati wetu wa kuwalea ndio maana kama wewe na mfano wako wewe wa kuwatupa wazee wako hiyo sio shida zetu .By the way watoto wa haramu bara ni wengi mno 70 au 80 % ni watoto wa haramu so kuwatunza wazee wao sio lazima kwao.
Jikite kwenye Mjadala
 
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.

1. Si jambo la kushangaza mkoani tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake(mke na watoto).

2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram,drafti na vijiwe vya alkasus

3. Wameridhika sana, kupokea 6000 kwa siku kwa kazi ya kiwandani wanaona maisha wameyapatia.

4. Kuendekeza sana ushirikina( uganga ).

Sasa hapo kaka zangu wamekukosea nini?? Huo ndo utamaduni wewe shangaa tu na usimulie ila usiseme wana shida. Mi nilidhani wanakwaza wengine kumbe wanafanya zao kazi za kupata afu 6…hawana shida kwakweli.
 
Juhudi za makusudi zinahitajika,Tanga,Lindi,Bagamoyo,Zanzibar,inakera kwakweli...
 
Ndugu usibishe ,Nina rafiki ni mtu wa tanga nafanya nae kaz nilichoka siku moja aliponiambia amewahi muingilia kinyume na maumbile mwanaume mwenzie akasema hyo dhambi inamtesa sana
Mwambie aende kwa usiku minchi atakutana nao mpka atakaa
 
Niliwahi kuishi Tanga kwa muda Fulani, mbona hayo unayosema sikuwahi kushuhudia wala sikuwahi kupata taarifa zake hata siku moja?? Hivi huwa mnakuwa mko serious mnamaanisha kuwa ni ukweli au huwa ni utani tu wa kuwapaka matope watu wa Tanga kuhusiana na suala hili??????
Unazungumzia Tanga ipi mkuu wew hujui Tanga vizuri [emoji28]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Nilikua pale town mwaka mmoja sasa nyuma, nilikua natazama vile vi pikipiki viko kama Panzi[emoji2][emoji2]
hatari sana

kama ni mgeni unaweza shangazwa sana na kujiuliza kwani wanazipendea nini na usipate majibu ya kueleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom