David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,501
- 8,173
Umri huo ni wakuachana na beer nakushift kwenye hard liquor
Vijana wa siku hizi hamkai kwenye vijiwe vya kahawa, ndio maana maadili yenu yameshuka.Mkuu naona unatupa hadithi ulizothimuliwa na babu
Acha uoga binti,😂😂😂😂mimi siziogopi bhana ila zije kwenye umri husika kama miaka 50 hivi.
Sasa mbona vijana wameikuta nchi ni masikini?
Bila sisi, huo uhuru wa kutembea huku ukijitikisa usingeupata.Uhuru wa Kingono au wa nini?
😜
Mimi sio kijana ila nawasemea vijana.Tuliwajengea viwanda, tukawaonyesha machimbo ya madini mbalimbali kama chuma, dhahabu, almasi n.k lakini nyie vijana mmeshindwa kuendeleza na kukimbilia kuimba singeli
Unamaanisha vijana wa leo hawajui ata kujieleza?Mimi sio kijana ila nawasemea vijana.
Hapo sawa 😅.Bila sisi, huo uhuru wa kutembea huku ukijitikisa usingeupata.
Dah! Leo ndio najua kua kumbe humu JF tumo na wanetu,Kumbe mimi nimezeeka.toka mwaka 1958 enzi za Tanu hadi leo. Miaka 68.Yafaa nisitaafu jamii forum kabisa
Inategemeana na mtu mwenyewe mfano mtu ambae hana pesa zitakuja kama zote😂😂😂😂mimi siziogopi bhana ila zije kwenye umri husika kama miaka 50 hivi.
Kweli kabisa,uzee wa kitajiri na uzee wa kimasikini ni tofauti kabisa.Inategemeana na mtu mwenyewe mfano mtu ambae hana pesa zitakuja kama zote
Huyo amekupigaDah! Leo ndio najua kua kumbe humu JF tumo na wanetu,
Ukiingia JF uwe unanipa heshima yangu kijana.
Sisi wazee damu yetu ni ya baridi, tukipata vijana kama nyie damu yetu inachemkaHapo sawa 😅.
Unajua ungekuwa umeishanioa wewe.😜
Sikuelewi ujue.
Unaweza kukuta bado ni wale vijana wa virasta juu ya kichwa kama Jogoo,na suruali inavaliwa chini ya makalio.Huyo amekupiga
Ulikuwa unafanya nini at your twenties?Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January , kwa sasa tunatimiza miaka 40 na na wale wa mwishoni 86 🤔
Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia , kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo , ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto vya kipara na kitambi 🤔
Kwa ,uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
Mzee naona umeanza kutupa ndoano mdogo mdogoSisi wazee damu yetu ni ya baridi, tukipata vijana kama nyie damu yetu inachemka
Kweli kabisa,uzee wa kitajiri na uzee wa kimasikini ni tofauti kabisa.
Uje ukishastaafu.Sisi wazee damu yetu ni ya baridi, tukipata vijana kama nyie damu yetu inachemka