Vijana wa Dar wananiita mshua

Vijana wa Dar wananiita mshua

Siku hizi raha sana, ni wewe tu kuamua kufyatua huku umetulia! Gharama zake ndio uzae huna maelekezo utaita maji mma! Sikuhizi wanafutwa tu hakuna mambo ya kushika nnya, mimi naanzaje sasa kuchelewa mzee😎
Nimegundua shida sio wewe.
Huo mtaa inabidi tukuhamishe..
Gharama za bed rest maankoli tupo tutaclear si anko banah.😉😉
 
Ukiitwa Mshua ,Dingi ,Father ni neema ,maana kwasasa vijana wanadanja sana below 35 ,ukiingia Facebook daily unaona vijana wadogo wametangulia mbele za haki na age zao ni below 35.

Mshua ni Father Mwenye Pesa.

Father na Dingi - Ni Age go ambaye ana pesa ya kawaida ya kula.

Mbaba - Ni Father/Dingi mara nyingi huitwa na watoto wa kike/wanawake.
Huku Kenya mimi naitwa 'Msee'. Je, Niko kwenye kundi gani?
 
Mzee ni kama kwetu tunavyotumia ,ni kama Oyaaa Mzee Baba niaje?

Vipi Mzee niaje?

Mzee Vipi?

Nipo Mzee.
Basi nimefurahi kusikia hivyo. Juzi nilikuwa nakula kwenye mgahawa mmoja, nikasikia kijana wa kikenya akiwa na wenzake, huku akinipoint kwa kidole, akisema, "yule msee ako juu, kumgusa ni ile kitu haifai juu ana muguu ya kuku, so ni ngori mazee...", sikumwelewa na niliogopa sana.
 
Karibu kwenye uzee. Mimi nilianza kuitwa hivyo karibu miaka mitano iliopita 😀😀😀
 
Basi nimefurahi kusikia hivyo. Juzi nilikuwa nakula kwenye mgahawa mmoja, nikasikia kijana wa kikenya akiwa na wenzake, huku akinipoint kwa kidole, akisema, "yule msee ako juu, kumgusa ni ile kitu haifai juu ana muguu ya kuku, so ni ngori mazee...", sikumwelewa na niliogopa sana.
Usiogope ni kamawaida sana au haujawahi kusikia ile Vipi Babu?
 
Back
Top Bottom