Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,354
- 25,226
Mbn nipo under hiyo naitwa mshua au nataka tapeliwa 🤔
Kumbe!!! Asante kwa taarifa
Mie kitaa wanaiitaa Rasi , ofisini wananitaa dogo viwanja waniita mkaka , wife ananitaa baba, kanisani wananiita baba ua mzeeUkiitwa Mshua ,Dingi ,Father ni neema ,maana kwasasa vijana wanadanja sana below 35 ,ukiingia Facebook daily unaona vijana wadogo wametangulia mbele za haki na age zao ni below 35.
Mshua ni Father Mwenye Pesa.
Father na Dingi - Ni Age go ambaye ana pesa ya kawaida ya kula.
Mbaba - Ni Father/Dingi mara nyingi huitwa na watoto wa kike/wanawake.
Mshua shkamoo😅Ndio maana …… huwa wananiita mshua
Saaa nimejua maana yake
Unazeeka kabla ya umri ukiona hivyo! Mwenzio naitwa mama kijacho mwaka wa 5 huu🤦🏽♀🙆🏽♀️Mbn nipo under hiyo naitwa mshua au nataka tapeliwa 🤔
Mshua mm aseeh wa kishua Tena mshua og 👊😂Unazeeka kabla ya umri ukiona hivyo! Mwenzio naitwa mama kijacho mwaka wa 5 huu🤦🏽♀🙆🏽♀️
Sasa na wewe si ujifungue tu 😁😁😂Unazeeka kabla ya umri ukiona hivyo! Mwenzio naitwa mama kijacho mwaka wa 5 huu🤦🏽♀🙆🏽♀️
Aah wapi we dogo kabisa! Wanakuonea aisee!Mshua mm aseeh wa kishua Tena mshua og 👊😂
Inshallah mwezi huu😎Sasa na wewe si ujifungue tu 😁😁😂
Wanniita mshua kwa sababu ya utulivu, hekima na ni mwenyekiti wao!! Kwenye kikundi Cha kishua hv 😆Aah wapi we dogo kabisa! Wanakuonea aisee!
Hmm isijekuwa kwenye kikoba chenu😂Wanniita mshua kwa sababu ya utulivu, hekima na ni mwenyekiti wao!! Kwenye kikundi Cha kishua hv 😆
Unikumbushe ankoli apokelewe na vinguo vipya vipya.😂Inshallah mwezi huu😎
Dogo kobaz tatizo hiyo mikanzu na mibaraghashia unayovaa.maana yake pingili zimeshaanza kusoma namba
huwa nachukia sana nikiamkiwa shikamoo
Cc: Monetary doctor 📌Ukiiitwa faza ,,dingi ujuwe kwisha habari yko,,
Badilisha mapigo