Vijana wa Dar wananiita mshua

Vijana wa Dar wananiita mshua

Oya sio poa Kuna siku watoto walikuwa wananiita babuu nikawa naongeza mwendo sijaitika wala nini😁😁
Mtoto akikuata Babu ujue anamaanisha ,punguza vitu vya sukari ,chumvi ,fanya mazoezi kwasana.

Halafu sijui kwanini watu hawataki ukubwa?

Kama hamtaki ukubwa basi kufeni mapema ndiyo suluhisho.

Watu kila siku tunaomba Mungu atupe maisha marefu yenye baraka na fanaka.
 
Mkuu umeongea bonge la point unakuta mtu hataki mvi anaweka super black😁😁😁
 
Ukiitwa Mshua ,Dingi ,Father ni neema ,maana kwasasa vijana wanadanja sana below 35 ,ukiingia Facebook daily unaona vijana wadogo wametangulia mbele za haki na age zao ni below 35.

Mshua ni Father Mwenye Pesa.

Father na Dingi - Ni Age go ambaye ana pesa ya kawaida ya kula.

Mbaba - Ni Father/Dingi mara nyingi huitwa na watoto wa kike/wanawake.
Mm naona kam tiktok vifo vimezidi au ndo hao hao wa FB maana mimi sina akaunti FB...ila tiktok daily utakuta kifo cha mtoto au kijana sijui mtandao una mapepo ule
 
Mm naona kam tiktok vifo vimezidi au ndo hao hao wa FB maana mimi sina akaunti FB...ila tiktok daily utakuta kifo cha mtoto au kijana sijui mtandao una mapepo ule
Watakuwa ndiyo hao hao wa tiktok wanapostiwa pia facebook ,mimi sina account tiktok.

Hii issue inabidi tuongeze maombi ,hali ni mbaya sana ,vifo ni vingi zaidi ya ile kwenye korona.
 
Back
Top Bottom