Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,425
- 72,315
Kweli kabisaWatakuwa ndiyo hao hao wa tiktok wanapostiwa pia facebook ,mimi sina account tiktok.
Hii issue inabidi tuongeze maombi ,hali ni mbaya sana ,vifo ni vingi zaidi ya ile kwenye korona.
Kweli kabisaWatakuwa ndiyo hao hao wa tiktok wanapostiwa pia facebook ,mimi sina account tiktok.
Hii issue inabidi tuongeze maombi ,hali ni mbaya sana ,vifo ni vingi zaidi ya ile kwenye korona.
Daa! Basi sawa fazaMshua ni jamaa flani hivi age 50+ ,,anajipenda ,,manukato mazuri,ray band machoni,,. suruali jeans au kadet ,,shirt kali long au short sleeve plain haina mapicha picha ,, mkononi saa kali ,miguuni ana simple raba au simpe boot....
Kama huna sifa hizo wewe ni faza