Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,671
- 15,903
Maana ya mshua ni nini wakuu?....kila angle ninayopita naitwa mshua, au ninaonekana njaa kali...
ndio maana yake au sio? ni kama dingiFather
mimi ni mzee tangia hapoUzee uko mbioni
Mshua ni mtu mzima mwenye pesa na pigo za kizunguMaana ya mshua ni nini wakuu?....kila angle ninayopita naitwa mshua, au ninaonekana njaa kali...
Mshua ni jamaa flani hivi age 50+ ,,anajipenda ,,manukato mazuri,ray band machoni,,. suruali jeans au kadet ,,shirt kali long au short sleeve plain haina mapicha picha ,, mkononi saa kali ,miguuni ana simple raba au simpe boot....Maana ya mshua ni nini wakuu?....kila angle ninayopita naitwa mshua, au ninaonekana njaa kali...
Karibu kwenye uzee. Mimi nilianza kuitwa hivyo karibu miaka mitano iliopita 😀😀😀Maana ya mshua ni nini wakuu?....kila angle ninayopita naitwa mshua, au ninaonekana njaa kali...
ndio pigo zangu 😁😁😁😁Mshua ni jamaa flani hivi age 50+ ,,anajipenda ,,manukato mazuri,ray band machoni,,. suruali jeans au kadet ,,shirt kali long au short sleeve plain haina mapicha picha ,, mkononi saa kali ,miguuni ana simple raba au simpe boot....
Kama huna sifa hizo wewe ni faza
Ndio maana ….:::Mshua ni jamaa flani hivi age 50+ ,,anajipenda ,,manukato mazuri,ray band machoni,,. suruali jeans au kadet ,,shirt kali long au short sleeve plain haina mapicha picha ,, mkononi saa kali ,miguuni ana simple raba au simpe boot....
Kama huna sifa hizo wewe ni faza
Hii ni 55+ pigo zako haIeleweki,😁 Faza/Dingi
Kama hauna sifa hizo wewe ni faza.Ndio maana ….:::
Ndio maana …… huwa wananiita mshuaKama hauna sifa hizo wewe ni faza.